Magufuli anasalitiwa

Tanzania siyo nchi ya mapinduzi kwa hiyo hakuna mtu anapaswa kuitwa mwanamapinduzi, labda ZNZ lakini siyo bara
 

Magufuli mwenyewe hakuwa na sifa ya kushinda kwa njia ya kura, nani atatumia jina lake? Ule ushenzi alioufanya kwenye uchaguzi unadhani wanaccm wenye akili hawaujui? Magufuli anasema alipata kura 12m+ wakati hata wapiga kura hawakufika 10m. Kama unaamini Magufuli alishinda kwa kura, ingia kwenye tovuti ya tume ya uchaguzi uone kama kuna matokeo yoyote ya uchaguzi ule.
 
Kasome Katiba ya JMT uone Makamu wa Rais anapatikanaje. Au rudi kwenye karatatasi ya kura
 
Hayo matango Pori mlilishwa na Mbowe. Uchaguzi ulikuwa wazi sana ndiyo mana hata hao wazungu mliokuwa mnawakimbilia walitabiri kabla atashinda kwa 84% na ikawa hivyo
 
Jiwe hakuwa na sifa ya kuwa mwanamapinduzi aisee tulimsitiri sana k
hakuwa na sifa za kiuongozi hasa kwa taifa letu aisee
 
Nafikili MILEMBE hospital ipo na inafanya kazi sogea sogea
 
Hayo matango Pori mlilishwa na Mbowe. Uchaguzi ulikuwa wazi sana ndiyo mana hata hao wazungu mliokuwa mnawakimbilia walitabiri kabla atashinda kwa 84% na ikawa hivyo

Hamna mzungu mjinga wa hivyo ww dogo. Hizo 84% zilikuwa ni za kina Bashiru na Polepole. Ushenzi, unyama na uhayawani wa wazi uliotokea kwenye uchaguzi ule hata watoto wadogo waliuona. Narudia tena, wapiga kura hawakufika 10m, hiyo ndiyo saba hata kwenye tovuti ya tume ya uchaguzi hakuna matokeo. Nilitarajia utaniambia matokeo yako kwenye tovuti ya tume ya uchaguzi, badala yake unaniambia matango pori ya nimelishwa na Mbowe. Ule haukuwa uchaguzi bali maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura.
 
Mapinduzi ya kutesa, kuaa ,kufungia akaunti za watu, kupigwa risasi Mungu aliona akamrudisha udongoni
 
kumbuka hata shetani anawafuasi wengi kuzimu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…