Chief Kabikula
JF-Expert Member
- Jan 1, 2019
- 7,564
- 9,043
Hii sio nchi ya jiweMagufuli ndio alipigiwa kua rais sio huyo mashavu. Kama sio uzanzibari wake asingekua rais. Isitoshe hakua chaguo la magufuli ila la jk
Msije kusema Makonda, Byakanwa, Mnyeti, Gumbo na wahuni wengine walikuwa wana mapinduzi.Ni jambo la kusikitisha kuona mwendo wa kimapinduzi wa magufuli unasalitiwa na wanamapinduzi wanaangalia hawana cha kufanya. Ni hakika mrithi kikatiba wa magufuli sio mwanamapinduzi kwa hivyo tutegemea mwendo wa maendeleo wenye upendeleo kwa umma kusimama.
Makada waliyokua wanasimamia mapambano dhidi ya rushwa dhuluma kwa wanyonge ukwepaji wa kodi na maduhuri ya serikali sasa rais katoa taa kijani waburuzwe na kubambikiwa makosa kama wabakaji kusudi kuwaondoa kwenye nafasi zao.
Tumeona furaha ya mabwanyeye wa kimachame kote kutokana na jinsi sabaya alivyovunja mitandao yao ya uhalifu iliyokua na makao makuu hai. Kwa mfano wizi wa magari ili kuuzwa kama spear used. Utengenezaji fedha bandia ukwepaji kodi na kadhalika.
Hawajaishia hapo sasa wanadai kila kiongozwi mwenye ujasiri aina ya sabaya aburuzwe kotini. Wanataja majina na tuna ogopa hii serikali isiyo kua ya kimapinduzi ya chama cha mapinduzi huenda wakawa kwenye kazi ya kuvuruga mwende wa kimapinduzi wa magufuli.
Naona Mnyeti ameanza kujisafishaNi jambo la kusikitisha kuona mwendo wa kimapinduzi wa magufuli unasalitiwa na wanamapinduzi wanaangalia hawana cha kufanya. Ni hakika mrithi kikatiba wa magufuli sio mwanamapinduzi kwa hivyo tutegemea mwendo wa maendeleo wenye upendeleo kwa umma kusimama.
Makada waliyokua wanasimamia mapambano dhidi ya rushwa dhuluma kwa wanyonge ukwepaji wa kodi na maduhuri ya serikali sasa rais katoa taa kijani waburuzwe na kubambikiwa makosa kama wabakaji kusudi kuwaondoa kwenye nafasi zao.
Tumeona furaha ya mabwanyeye wa kimachame kote kutokana na jinsi sabaya alivyovunja mitandao yao ya uhalifu iliyokua na makao makuu hai. Kwa mfano wizi wa magari ili kuuzwa kama spear used. Utengenezaji fedha bandia ukwepaji kodi na kadhalika.
Hawajaishia hapo sasa wanadai kila kiongozwi mwenye ujasiri aina ya sabaya aburuzwe kotini. Wanataja majina na tuna ogopa hii serikali isiyo kua ya kimapinduzi ya chama cha mapinduzi huenda wakawa kwenye kazi ya kuvuruga mwende wa kimapinduzi wa magufuli.
Hao kina lissu saanane gwanda ndio hao hao mnawataja kila siku. Pambafu zako. Kwani hao vibaraka wa barrick ndio nani? Utasikia azory gwanda sijui lissu risasi 40. Tukiwaambia nchi ilikua chini ya mwanamapinduzi wala kasuku kama wewe huwezi elewa. Tukikwambia nchi ilisonga mbele huwezi amini. Hata world bank na ifm vyombo vyenye kudhibitiwa na mabeburu mnaowasujudu watu kama wewe vilikubali.Wewe au mm ndo huwezi tofautisha.
Mm najua ndomana nkakwambia yule mpuuzi JPM hayupo kwenye kundi la mwanamapinduzi.
Yaani watu wa kina sabaya unaanza wapi kusema wanabambikiwa cases!
Unajua machungu na maumivu waliyopitia kina lisu, gwanda na Sanane wewe KISA hawa wapumbavu wachache?
Au wale siyo watanzania?
Juha wewe
Unaongea utopolo gani?Hao kina lissu saanane gwanda ndio hao hao mnawataja kila siku. Pambafu zako. Kwani hao vibaraka wa barrick ndio nani? Utasikia azory gwanda sijui lissu risasi 40. Tukiwaambia nchi ilikua chini ya mwanamapinduzi wala kasuku kama wewe huwezi elewa. Tukikwambia nchi ilisonga mbele huwezi amini. Hata world bank na ifm vyombo vyenye kudhibitiwa na mabeburu mnaowasujudu watu kama wewe vilikubali.
Tofauti na hao marais wengine mama samia kaingia kwa kura za magufuli. Watu walimpigia magufuli kura kwa asilimia 84.6. Hii ni awamu ya magufuli sema mungu kampenda. Huyu mama kutuletea mambo za fikra zao za laisez faire upwani za kipigaji hakika tunaumia sana roho.
Ni jambo la kusikitisha kuona mwendo wa kimapinduzi wa magufuli unasalitiwa na wanamapinduzi wanaangalia hawana cha kufanya. Ni hakika mrithi kikatiba wa magufuli sio mwanamapinduzi kwa hivyo tutegemee mwendo wa maendeleo wenye upendeleo kwa umma kusimama.
Makada waliyokua wanasimamia mapambano dhidi ya rushwa dhuluma kwa wanyonge ukwepaji wa kodi na maduhuri ya serikali sasa rais katoa taa kijani waburuzwe na kubambikiwa makosa kama wabakaji kusudi kuwaondoa kwenye nafasi zao.
Tumeona furaha ya mabwanyeye wa kimachame kote kutokana na jinsi sabaya alivyovunja mitandao yao ya uhalifu iliyokua na makao makuu hai. Kwa mfano wizi wa magari ili kuuzwa kama spear used. Utengenezaji fedha bandia ukwepaji kodi na kadhalika.
Hawajaishia hapo sasa wanadai kila kiongozi mwenye ujasiri aina ya sabaya aburuzwe kotini. Wanataja majina na tunaogopa hii serikali ya samia isiyo kua ya kimapinduzi ya chama cha mapinduzi huenda wakawa kwenye kazi ya kuvuruga mwendo wa kimapinduzi wa magufuli.