Kwanza nianze KWA kusema kwamba utawala uliopita wa Vasco da Gama pamoja na kuwa dhaifu ila ulimpa mtumishi wa umma fursa ya kujitafitia riziki baada ya SAA za kazi au wakati hanamajukumu KAZINI kwake. Mfano walimu kama Mimi tulikuwa tunapiga boda BODA, tunaendesha bajaji, matatu wakati hatuna vipindi shuleni.
Tangu utawala wa hapa kazi tu umeanza hali imekuwa mbaya (imbombo ngafu), hakuna nights, hakuna posho, hakuna chai KAZINI, wala hata harufu ya kusogelea PESA tofauti na mshahara.
Watumishi wasio wa serikali wamefaidika kiasi fulani wanapewa PESA za TASAF,wameondolewa ada kwa watoto wao, japo hii ni KWA wote hata watoto wa ukawa wananufaika nayo.
Rais Magufuli KWA heshima na utii, bajeti ijayo utuangalie walimu KWA kutuwekea Posho ya kufundishia,japo hata 100000 inatosha KWA kuanzia, kijiwe kigumu, pia ikiboresha mshahara umeboresha biashara, kwani utakuwa umeongeza money supply NA perchasing power of the people.