Magufuli 'anajihujumu' mwenyewe...

hahaaa ole wako ujifungie,hahaaa,aisee Rais wetu atakuwa analala na stress sana siku za hivi karibuni,mkuu rais kama mambo magumu,umeshindwa kuongea na hao ukuta,call state of emergency u resign.....
Nani ajifungie??? ninausubiri UKUTA wa sep. 1 kwa hamu kuliko ambavyo wayahudi walivyomsubiri Masiha....Alale wakat uck ni muda wa kufyatu....
 
JPM ana hatia nyingi sana zinazomsumbua ni aibu.

Lakini ndiyo hivyo tena tumewekewa magogoni tuisome namba.
 
Hivi mkuu washauri wenyewe kama ni kina bulemboo u ategemea nini? Wao ni kujipendekeza tu na ulaghai kwa mh
 
Hahahaha,mkuu mimi akili zangu natembea nazo muda wote,labda hukunielewa tu.
Asante Mkuu ulikuwa unaniangusha sana kutetea kukanyangwa katiba na sharia za nchi kunakofanywa na mtukufu wetu Rais. Kiukweli na kiutu hatuwezi kui- compromise katiba na sharia za nchi kwa sababu yoyote ile.
 
Watu wenye mentality za 'kufanya harakati' badala ya management ndo wanavyokuwa
lazima wajiangushe wenyewe

Harakati ni kabla hujapata power
ukishapata power inatakiwa management skills sio tena 'harakati'
Nachojiuliza Mtu kama Freeman Mbowe ni Mwenyekiti wa Taifa wa chama "active" cha CHADEMA, utamwambiaje eti afanye mkutano Jimbo la Hai tu??
 
Huwezi kupigana na ukuta kama upotimamu kiakili jamani kwani wahenga walisha tuambia kuwa
Mpiga Ngumi ukutani huumiza mkonowe!!!

Ni methali za zamani lakini watu hawa wanashindwa kuelewa
Ukuta tayari imesha anza kufanya kazi kwa kuwawajibisha wakubwa kuanzia dc, rc, na ma rpc huoni leo pemba huko wamefunguka?
 
Nachojiuliza Mtu kama Freeman Mbowe ni Mwenyekiti wa Taifa wa chama "active" cha CHADEMA, utamwambiaje eti afanye mkutano Jimbo la Hai tu??

Hajui siasa kabisa na hana washauri
 
Chadema mnatapatapa sana.

Kila saa Magufuli Magufuli hakauki midomoni mwenu.

Shem to you
ACHA KULOPOKA!KUHUSU SUALA LA KUONGEZA KODI LIMELETA ATHARI KUBWA KTK BIASHARA HADI WAFANYABIASHARA WA CHINI KUUMIAAA......
 
Muda huwa majibu tosha kwa yyte asiesikia
 
Huyu kwa madudu mbali mbali aliyoyafanya katika miaka 20 ndani ya Serikali hakustahili kupewa uongozi wa nchi, lakini tatizo la nchi yetu utendaji wa nyuma huwa hauangaliwi kabisa.

Mkapa na Kikwete walichojali ni kumteua mtu ambaye ataendelea kuwalinda katika maovu yao mbali mbali waliyoyafanya wakiwa madarakani bila kujali maslahi ya nchi, matokeo yake nchi inapitia katika kipindi kigumu na si ajabu kipindi ambacho kikawa mwanzo wa machafuko makubwa nchini.

Huyu Magufuli mimi simwelewi kabisa siku hizi.

Alipoanza kuna baadhi ya mambo nilimuunga mkono.

Lakini sasa hivi naona haeleweki kabisa.

Bada ya kupiga kazi tu anaishia kukimbizana na CHADEMA.

Tatizo lake ni nini?

Hana ustahmilizu wa kukosolewa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…