isidingo 1961
Senior Member
- Nov 9, 2015
- 106
- 13
Kwani uongo mkuu? CCM ilani mbovu in lazima mtekekeze ya chadema
His excellence Magufuli atazidi kuwanyamazisha kwa vitendo
hilo si kosa hapa namuunga mkono
Wanachadema huwa hamkosi maneno...
Naitamani sana siku ambayo utaongea kitu cha maana
Nimesoma ilani ya CHADEMA na kuona mambo yote anayojaribu kuyafanya Magufuli mpaka sasa yapo kwenye ilani ya CHADEMA ya 2015-2020 na wala sijayaona kwenye ilani yake CCM.
View attachment 305632
Thubutu, hao jamaa watabaki kuweweseka tu hapa jamvini. Kipigo cha tarehe 25 Oktoba kilikuwa sio cha mchezo yaani. Sasa wamechanganyikiwa hata wanaloongea hawalijui.Nenda ukamshitaki!
Nimesoma ilani ya CHADEMA na kuona mambo yote anayojaribu kuyafanya Magufuli mpaka sasa yapo kwenye ilani ya CHADEMA ya 2015-2020 na wala sijayaona kwenye ilani yake CCM.
View attachment 305632
Alisema serikali ya Magufuli na siyo ya CCM itahakikisha inashirikana na Watanzania katika kuongoza nchi
Hizo ilani Ni ahadi za utajengaje nchi, baada ya uchaguzi kilichokizuri ndicho kizuri kufanywa, ndiyo maana mama Anna alimkabidhi, Rais Magufuli ilani ya ACT achukue anayoona yanafaa ayafanyie kazi.
Kumbe mnapenda mawazo yenu mnayowashaur serikali yapuuzwe!!kisa yenu tu!! Tuweke taifa mbele kwanza,vyama baadaye
Tunampongeza sana Magufuli kutumia Ilani ya Ukawa kwa faida ya Nchi kumbe yule aliyesema wapinzani ni malofa in lofa yeye mbona Rais anatumia ilani yao?