Huu sio mda wa vijembe na chokochoko za kuonesha nani zaidi, ni wakati wa kuwapa wanachi maisha bora. Haijalishi ni mbinu za nani zinatumika kuwapa hayo maisha bora
Nawashauri Chadema wachukue hati miliki ya ilani yao 2020. La sivyo wataendela "kuibiwa" kila siku.Hofu ya mtoa uzi ni kwamba JPM asije akatema big G kwa karanga za kuonyeshwa.
Tunampongeza sana Magufuli kutumia Ilani ya Ukawa kwa faida ya Nchi kumbe yule aliyesema wapinzani ni malofa in lofa yeye mbona Rais anatumia ilani yao?
acha mihemkoNimesoma ilani ya CHADEMA na kuona mambo yote anayojaribu kuyafanya Magufuli mpaka sasa yapo kwenye ilani ya CHADEMA ya 2015-2020 na wala sijayaona kwenye ilani yake CCM.
View attachment 305632
Nimesoma ilani ya CHADEMA na kuona mambo yote anayojaribu kuyafanya Magufuli mpaka sasa yapo kwenye ilani ya CHADEMA ya 2015-2020 na wala sijayaona kwenye ilani yake CCM.
View attachment 305632
Hawa watu ni wanafiki sana.Wana copy na ku-paste sera za wapinzani huku wanakejeli upinzani!!Mbon huwa wansema wapinzani hawana sera? Huku wanzikopi? Waaknowledge basi kwamba hili tunashukuru tumelichukua kwa upinzani!
Mkuu umenena vizuri Magufuli sio rais wa CCM ni rais wa Tanzania.
Kumbe mnapenda mawazo yenu mnayowashaur serikali yapuuzwe!!kisa yenu tu!! Tuweke taifa mbele kwanza,vyama baadaye