Magufuli ana shida gani na wanawake?

Magufuli ana shida gani na wanawake?

technically

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2016
Posts
13,647
Reaction score
58,452
Wanawake wa nchi hii wamemkosea Nini Rais wao mpendwa?

Maana Kama mnakumbuka aliwahi kumwambia mwanamke kwamba

"Wewe mama unataka kupanuliwa wapi?" Kwamba mbona barabara ipo?.

Leo tena akiwa Nyamikoma mkoa wa Simiyu jimbo la Busega Kuna mwanamke amejitokeza kutaka kutoa kero yake ila ameishia kudhihakiwa.

Nanukuu ," Mama usinihalibie mkutano hayo unayotaka kuyaongea hapa kamwambie mmeo si unaye"

Rais wa nchi anaweza kuongea mbele ya watu lugha za kuudhi Kama hivi kweli?

Halafu watu wale wale wamchague?

Wanawake wa Tanzania hivi mmemkosea nini rais wenu Magufuli.?
 
Unadhani hayo matatizo yake yapo kwa hao wanawake tu! Bila shaka ni kwa makundi mengi tu kwenye jamii.
 
Wanawake wa nchi hii wamemkosea Nini Rais wao mpendwa?

Maana Kama mnakumbuka aliwahi kumwambia mwanamke kwamba

"Unataka kupanuliwa wapi?" Kwamba mbona barabara ipo?.

Leo tena akiwa Nyamikoma mkoa wa Simiyu jimbo la Busega Kuna mwanamke amejitokeza kutaka kutoa kero yake ila ameishia kudhihakiwa.

Nanukuu ," Mama usinihalibie mkutano hayo unayotaka kuyaongea hapa kamwambie mmeo si unaye"

Rais wa nchi anaweza kuongea mbele ya watu lugha za kuudhi Kama hivi kweli?

Halafu watu wale wale wamchague?

Wanawake wa Tanzania hivi mmemkosea nini rais wenu Magufuli.?
Jiwe hana maadili hatufai.
 
Shime Wananchi tuikomboe nchi yetu kabla haijaharibiwa zaidi na huyu mtu.
 
Hana tatizo na wanawake..
Wewe ndio unatatizo.. kwa kukosa ya kuandika.. na kutaka kupitisha chuki..
We si mwanamke aisee??!!! 😲. Acha ku support vitu vya kijinga. Mtu akikudhalilisha hata km ni baba yako unatakiwa useme.
Ni km Gwajima jana alivyomdhihaki bi kidude sio kabisa. Anamuita Halima mdee yule bi kidude. Meaning marehem bi kidude ni mtu wa aina flani.
Nyie ndio mnabakwa na watu wenu wa karibu na kunyamaza
 
Wanawake wa nchi hii wamemkosea Nini Rais wao mpendwa?

Maana Kama mnakumbuka aliwahi kumwambia mwanamke kwamba

"Unataka kupanuliwa wapi?" Kwamba mbona barabara ipo?.

Leo tena akiwa Nyamikoma mkoa wa Simiyu jimbo la Busega Kuna mwanamke amejitokeza kutaka kutoa kero yake ila ameishia kudhihakiwa.

Nanukuu ," Mama usinihalibie mkutano hayo unayotaka kuyaongea hapa kamwambie mmeo si unaye"

Rais wa nchi anaweza kuongea mbele ya watu lugha za kuudhi Kama hivi kweli?

Halafu watu wale wale wamchague?

Wanawake wa Tanzania hivi mmemkosea nini rais wenu Magufuli.?

Huyo ana hasira kwani kashikwa pabaya na wapinzani wake, na hasira zote anaziangushia kwa anayemuhuliza swali au kutoa kero zake.

Ningekuwa na uwezo ningewahimiza wanawake wote wasipigie kura wagombea wa ccm kwani wamekuw wakiwatukana sana wanawake.
 
Magufuli ni ni mkelezaji zaidi
Alifaa awe PM wakati wa Mkapa au Kikwete.
Urais ni too much kwake
 
Wanawake wa nchi hii wamemkosea Nini Rais wao mpendwa?

Maana Kama mnakumbuka aliwahi kumwambia mwanamke kwamba

"Unataka kupanuliwa wapi?" Kwamba mbona barabara ipo?.

Leo tena akiwa Nyamikoma mkoa wa Simiyu jimbo la Busega Kuna mwanamke amejitokeza kutaka kutoa kero yake ila ameishia kudhihakiwa.

Nanukuu ," Mama usinihalibie mkutano hayo unayotaka kuyaongea hapa kamwambie mmeo si unaye"

Rais wa nchi anaweza kuongea mbele ya watu lugha za kuudhi Kama hivi kweli?

Halafu watu wale wale wamchague?

Wanawake wa Tanzania hivi mmemkosea nini rais wenu Magufuli.?
Tbc nilitarajia wazime sauti au wakatishe matangazo kutokana kauli zisizofaa.
 
Back
Top Bottom