Naam, kwakweli si bure.Kuna jambo ndani ya unyumba/ndoa husika
Naam, kwakweli si bure.Kuna jambo ndani ya unyumba/ndoa husika
Madhara ya kuongozwa na vilaza huwa yanamgusa kila mtuWanawake wa nchi hii wamemkosea Nini Rais wao mpendwa?
Maana Kama mnakumbuka aliwahi kumwambia mwanamke kwamba
"Unataka kupanuliwa wapi?" Kwamba mbona barabara ipo?.
Leo tena akiwa Nyamikoma mkoa wa Simiyu jimbo la Busega Kuna mwanamke amejitokeza kutaka kutoa kero yake ila ameishia kudhihakiwa.
Nanukuu ," Mama usinihalibie mkutano hayo unayotaka kuyaongea hapa kamwambie mmeo si unaye"
Rais wa nchi anaweza kuongea mbele ya watu lugha za kuudhi Kama hivi kweli?
Halafu watu wale wale wamchague?
Wanawake wa Tanzania hivi mmemkosea nini rais wenu Magufuli.?
Atachaguliwa tena Kwa kura nyingi sana kaa Kwa kutulia utaonaWanawake wa nchi hii wamemkosea Nini Rais wao mpendwa?
Maana Kama mnakumbuka aliwahi kumwambia mwanamke kwamba
"Unataka kupanuliwa wapi?" Kwamba mbona barabara ipo?.
Leo tena akiwa Nyamikoma mkoa wa Simiyu jimbo la Busega Kuna mwanamke amejitokeza kutaka kutoa kero yake ila ameishia kudhihakiwa.
Nanukuu ," Mama usinihalibie mkutano hayo unayotaka kuyaongea hapa kamwambie mmeo si unaye"
Rais wa nchi anaweza kuongea mbele ya watu lugha za kuudhi Kama hivi kweli?
Halafu watu wale wale wamchague?
Wanawake wa Tanzania hivi mmemkosea nini rais wenu Magufuli.?
We si mwanamke aisee??!!! 😲. Acha ku support vitu vya kijinga. Mtu akikudhalilisha hata km ni baba yako unatakiwa useme.
Ni km Gwajima jana alivyomdhihaki bi kidude sio kabisa. Anamuita Halima mdee yule bi kidude. Meaning marehem bi kidude ni mtu wa aina flani.
Nyie ndio mnabakwa na watu wenu wa karibu na kunyamaza
Nini kilikusibu? umepotea sana jukwaani
Jamani nimejibiwa moja ya msg zangu hapo juu. Naombeni mnitafsirie huu ujumbe wangu.Sawa mwanamke wewe.. ya uchungu yako.. hayo ya kwenu huko wakaa.. pole saka musahada.. ya kuniwekea mineno michafu.. mudomoni yapnyesha ai kyu yako chini na ovyo.. lia pokea hizi.. 💉💉💉💉
Karibu mkuuNipo na salama..
😂😂😂😂😂😂😂😂Jamani nimejibiwa moja ya msg zangu hapo juu. Naombeni mnitafsirie huu ujumbe wangu.
Mi nimeambulia sindano nne tu hapo. Sasa sijui ni dozi hii napewa.
😃😃😃 Leo wakati jiwe anatema cheche akasema mchagueni mnaemchagua lkn tusilaumiane. Kuna jamaa mmoja kwenye crowd akasema SAWA.Ningekuwa mimi huyo mama saizi ningekuwa rumande maana hata mimi sichelewi kupanick nikitukanwa walahi ningemrudishia maneno yake
Watu kama nyie akili zenu zipo mkun**niHana tatizo na wanawake..
Wewe ndio unatatizo.. kwa kukosa ya kuandika.. na kutaka kupitisha chuki..