Labda kafanyia pale ufipa.Utafiti umefanyia wapi?
Mambo mengine hayahitaji kuwa na ubongo mkubwa kuliko wa kuku ili kuyang'amua. Makada wengi na waaminifu wa CCM wanakiri behind closed doors and off the record kuwa there's a rift within the rulling party; and magu is in denial!Utafiti umefanyia wapi?
Shida ni kwmba vyombo vya dola navyo vipo hoibila vyombo vya
dola kuisaidia ccm hali mbaya.
Tume na dora hasa polisi huwa watiifu sana kiuhalisia katika ulingo wa siasa ccm hata kushindana na chauma hawawezi ni chama dhaifu sana.Nakumbuka story kama hizi ziliwahi andikwa wakati ule tukielekea uchaguzi wa 2010 ili JK aingie kipindi cha pili. kilichotokea baada ya uchaguzi ule wote tunakijua.
Watu wanaandika story utadhani leo ndo wanaijua CCM.
My friends this dude is always the same and will remain the same.
Wapeni moyo upinzani huku upande mwingine Magufuli akiendelea kuteka mioyo ya watanzania wa hali ya chini
2020 mtapoteanaAnaandika Dr.Christopher Cyrilo
Magufuli ana hali mbaya sana ya kisiasa tunapoelekea mwaka 2020. Ametumia nguvu nyingi kudhibiti vyama vya upinzani, bila kujua, kupambana na upinzani ndio kuiongezea nguvu. hakujua ndani ya chama chake kuna upinzani mkubwa zaidi dhidi yake.
Tayari makundi ya urais yameanza kujengwa ndani ya CCM, machache yenye nguvu. Wengine wapo ndani ya serikali na wanampa ushirikiano wote, wanasubiri wakati muafaka wampe 'surprise'.
Muda uliobaki ni mchache. Wakubwa waliompigania hadi kupata nafasi ya kugombea Urais, amewakorofisha.
Vijana waliompigania, hadi kupelekea Jaji Lubuva kutangaza kura za uongo ili Magufuli awe Rais, amewakorofisha.
Tayari kuna jitihada za kudunisha/kupunguza hadhi ya Magufuli. Suala la upotevu wa Trilioni 1.5 litaibuliwa upya. Na hili ni kaa la moto kwa Magufuli. Baadhi ya viongozi wa chama na serikali wataanza kutoa kauli zinazodunisha hadhi ya serikali, na kumpunguzia Magufuli Umaarufu.
Sasa amebaki na wasaka tonge, wasio na uzoefu kwenye masuala ya siasa, wala mbinu za ushindi. Na baadhi ya wasomi anaowapa mlo, wameanza kumtafutia majukwaa ya kumnadi kwa wananchi, mfano ni Kongamano la kumsifia lilopangwa kufanyika katika chuo cha Dsm.
Anachoweza Magufuli sasa ni kutumia vyombo vya dola ili abaki madarakani, na safari hii, vyombo vya dola vinaweza kutumika dhidi ya CCM yenyewe. Tutarajie misiba mingi ya wanasiasa kuliko ilivyokuwa katika uchaguzi wa 2015.
Ikumbukwe kuwa, Magufuli alikuwa mtu mdogo ndani ya CCM kabla ya kuwa Rais. Na hata baada ya kuwa M/kiti bado kuna mambo mengi hayafahamu ndani ya chama chao.Hadi leo bado anajifunza.
Salama yake ni vyombo vya dola. Atahitaji kukubali mambo yajiendee yenyewe au atumie mabavu ili kujihakikishia nafasi ya Urais wa awamu nyingine.
Chadema ina kazi kubwa moja, tunasema "Adui yako akiwa anakosea usimstue". Tunawaachia watoane damu, waangushane wenyewe, halafu atakapobaki mmoja wao, tunakula kichwa kiulaiani.
Kanye Central uone!Shida ni kwmba vyombo vya dola navyo vipo hoi
Pombe kavinyea kichwnKanye Central uone!
Shida zipi Mkuu? Korosho? Au ile T 1.5 ndo ya kununulia korosho?Wanaongelea uchaguzi leo wakati CCM inapambana na shida za wananchi
Aiseee !!!!Anaandika Dr.Christopher Cyrilo