Magufuli amtembelea Dr Helen Kijo-Bisimba

Magufuli amtembelea Dr Helen Kijo-Bisimba

Huyu mazeri sio ndio kituo chao cha kisheria kilipigwa
kabari juzi kati hapa kwa masaa kadhaa ....??
 
Hata ukitaka maendeleo mazuri lazima huanze kidogo kidogo hvyo rais wetu kwa kuanza hvyo mdg mdg lazima mikataba yote utaifuatilia
 
ni vizur kuwajulia hali nifahamishe tukio hilo limetokea majila ya sangapi my be tutapata undani zaid wa maendeleo ya bisimbva hali yake...katembelewa sangapiu
 
Safi sana Magufuli ukitoka hapo mpe msamaha BABU Seya na wanae.
Mkuu, Mtanzania anayejali watoto wadogo na unajua maana fika zinazo husu athali za kisaikolojia zinazo ambatana na ku abuse sexually watoto wadogo hawezi kuwa na ubavu wa kumtetea huyo Babu SEYA, huyo Mkongo na watoto wake ni ma MONSTERS wanapaswa kufungwa maisha, hukuna mahakama yoyote hapa Duniani inaweza kuwa set free, Watanzania tusiwe tuna watetea binadamu ambao hawana mahadili.
 
Kama gari lake liligongwa mbona hatujaliona hilo lorry lililogonga?
 
Huyu mama anaona aibu kwa sababu alikuwa anampigia kampeni lowassa.mwenzake magufuli hata hakumbuki yalikuwa mambo ya kampeni tu mama usisononeke moyo.
 
Embu tuongeen kwel ! Hiv maguful kafanya juhud gan zaid ya kusikia kavamia sijui wizara ya gan vile mara kaenda hosp! Mi nadhan alipofika fedha angepiga marufuk matumiz ya dola kwenye soko la ndan lkn akapita hwaaaa! Mi naona bla bla tu na ku divert mijadala kama zec na matokeo yaliomuweka madarakan
magufuli hana hata wiki,hata serikali hajaunda,unategemea nini?,kwasaa bado anapita na kuangalia,akishakaa sasa na watendaji wawepo ndo utasikia maneno
 
ni vizur kuwajulia hali nifahamishe tukio hilo limetokea majila ya sangapi my be tutapata undani zaid wa maendeleo ya bisimbva hali yake...katembelewa sangapiu
huyo bibi alipata michubuko miguuni,sasa anaendelea vizuri
 
Back
Top Bottom