Kibajaji alishalisema hili bungeni. Hata kwenye mambo yanayohitaji common sense na ubinadamu tu wao ni HAPANA kwa kwenda mbele. Sidhani kama hii ndo maana ya upinzani.Wapinzani wao kila kitu ni HAPANA
Kama Lowassa Nae Anavyotafuta SIFA Sasa Ktk Media Za MIPUA Na Za Wale WAANDISHI Na VYOMBO Vya Habari Vya KINJANJA Kwa Makusudi Kutaka Kudhoofisha Juhudi Zilizoanzwa Na Rais Dr. MAGUFULI.
Kama Lowassa Nae Anavyotafuta SIFA Sasa Ktk Media Za MIPUA Na Za Wale WAANDISHI Na VYOMBO Vya Habari Vya KINJANJA Kwa Makusudi Kutaka Kudhoofisha Juhudi Zilizoanzwa Na Rais Dr. MAGUFULI.
Bavicha bhana...hivi Lowasa alivyo panda dala dala?Anatafuta sifa tu, hana lolote.
lowasa bana, yaani wote waliowahi kumsema wamepatwa na masahibu
Kibajaji alishalisema hili bungeni. Hata kwenye mambo yanayohitaji common sense na ubinadamu tu wao ni HAPANA kwa kwenda mbele. Sidhani kama hii ndo maana ya upinzani.
UnAfki mbaya sana..
Kwanza Cheki vifaa vya hospitali, sijui kalazwa APPOLO-INDIA, AU AGHAKAN? HII HAIWEZI KUWA MUHIMBILI!
Kibinadamu hii ni kawaida tu, hata JK alifanya haya kwa kiwango cha kutosha.
Watanzania kwasasa hawaitaji kujua raisi kaenda kumtembelea nani, pengine ungetuambia raisi ameamua kuipitia upya mikataba ya mafuta na gesi hili lingetugusa wengi.
Hivi dr. Kisimba anaumwa? Nini kilimpata? Kuna connection na lile tukio la kuvamiwa kituo cha haki za binadam? Je kaenda kuomba msamaha.