Magufuli amtembelea Dr Helen Kijo-Bisimba

Magufuli amtembelea Dr Helen Kijo-Bisimba

Mlonganzila

Member
Joined
Feb 28, 2013
Posts
99
Reaction score
26
Magufuli amemtembelea Dr Helen Kijo-Bisimba pale Agha Kahn

attachment.php


 

Attachments

  • image.jpg
    image.jpg
    214 KB · Views: 6,727
Kibinadamu hii ni kawaida tu, hata JK alifanya haya kwa kiwango cha kutosha.
Watanzania kwasasa hawaitaji kujua raisi kaenda kumtembelea nani, pengine ungetuambia raisi ameamua kuipitia upya mikataba ya mafuta na gesi hili lingetugusa wengi.
 
lowasa bana, yaani wote waliowahi kumsema wamepatwa na masahibu
 
Kibini-adam sio mbaya ila.....kama anapenda kutembeatembea hivi....anyway..unajuwa kuunda baraza la mawaziri hasa wa "hapakazi tu" ni kazi kwelikweli.....inabidi kichwa ikiwaka moto lab unatoka nje unagonga sigara au unatembea kidogo kwa miguu unarefresh mind kisha unarudi tena lab....

Very gud my dr. Scientist prezdaa.
 
....

.....Mungu akupe afya njema Mama....japo kuna mashetani ya ufalme wa jehanamu yaliomba mabaya !!!!
 
...Watanzania kwasasa hawaitaji kujua raisi kaenda kumtembelea nani,...
Yaani akimtembelea inakuwa nongwa, asipomtembelea nongwa vile vile. Nyie mnaojiita wapinzani ni dhahiri bado mnaishi enzi za zama za jiwe (Stone Age). Jaribuni kustaarabika, japo kidogo tu.
 
hapana nadhani bi Kijo alikuwa very critical na jinsi CCM ilivyokuwa inakwenda..and she was for changes....nadhani hapa alikwenda kuprove kuwa the past is the past
 
Anatafuta sifa tu, hana lolote.

Kama Lowassa Nae Anavyotafuta SIFA Sasa Ktk Media Za MIPUA Na Za Wale WAANDISHI Na VYOMBO Vya Habari Vya KINJANJA Kwa Makusudi Kutaka Kudhoofisha Juhudi Zilizoanzwa Na Rais Dr. MAGUFULI.
 
Hapa kazi tu. Maneno baada ya kazi

Action.speak.better.than.words
 
Hivi dr. Kisimba anaumwa? Nini kilimpata? Kuna connection na lile tukio la kuvamiwa kituo cha haki za binadam? Je kaenda kuomba msamaha.
 
Back
Top Bottom