Leo nimesikiliza DW anasemwa kwamba ameshuka na kamatakamata ya wapinzani na kufungia vyombo vya habari vimeshusha imani ya wananchi na kuleta wasiwasi nchiniSiamini kama duniani kwa sasa hivi kuna nchi ina Rais hewa kama huyu wa kwetu!
Kuzuia watu wasimkosoe ndio kinga yake.Viongozi wa vyama vya upinzani kukosa hoja za mshiko (maslahi mapana kwa jamii) ni kithibitisho Rais utendaji wake uko makini.
Mwanzo wa utawala wake aliweka vigezo vya utendaji (akitafsiri kaulimbiu yake hapa kazitu kwa vitendo). Wateule wake kwa sasa ndo kazi yao.
huwa sinywi chai zaidi ya Juice...wee ni mgeni hapa Dar?chai umekunywa?
Kwanini mkuu wakati kachaguliwa na sisi WatanzaniaAliingia kidanganyifu usione ajabu kudanganywa
Jaja realmente lo recuperastehuwa sinywi chai zaidi ya Juice...wee ni mgeni hapa Dar?
Takwimu zinaonesha hivyo ila ni tofauti na wapiga kura wenyeweKwanini mkuu wakati kachaguliwa na sisi Watanzania
1. "Milioni "50" kila kijiji".. Looh!!
2."Ajira za kumwaga"....duuuh!! Nadhani mnajionea kinachoendelea huko uswahilini.
3. "Mwendelezo wa Rasimu ya katiba mpya"...(ameshasema Hapangiwi/hamna fedha za kuchezea hapa)
4. "Tanzania ya viwanda"...sijapenda kucheka "mniwie radhi" maana vyerehani vimekuwa vingi kuliko washonaji.
5. "Dhana ya uhakiki".....hapa tumechotwa!! Miaka mitano inaishia hivyo kila siku uhakiki.
6. "Maendereo hayana chama"...wakati huohuo inatoka kauli, nanukuu "haya yote nafanya kwa sababu ya hao waliovaa nguo za (Kijani) "
7. "Hakuna kuangaria Bunge Raivu, nataka watu wachape kazi"......Wakati huo yeye yupo live kwenye "TBCCM" na ni muda wa Kazi.
8. .......
9. ........
10. .......
#We have a long way to go.
#Uvumilivu wa Watanzania hauna mfano duniani
#Ukitaka kumtawala "mtu" mnyime elimu bora (Mpe elimu bure)
Louis II
















😂😂😂😂matusi ya nini mkuu?
Usiingilie Kazi ya Bashite, Mwigulu, January na Nape tutakuokota kwenye kiroba buree😂😂😂😂😂Takwimu zinaonesha hivyo ila ni tofauti na wapiga kura wenyewe
Wee bepari unaona raha tu 😂😂😂
Mwisho wake au siyo... ??
AiseeUsiingilie Kazi ya Bashite, Mwigulu, January na Nape tutakuokota kwenye kiroba buree😂😂😂😂😂
Aisee[/QUOTE