Louis II
JF-Expert Member
- Mar 9, 2018
- 3,030
- 4,650
😂😂😂shituka mkuu..Aisee
😂😂😂shituka mkuu..Aisee
Na ataondoka kidanganyifuAliingia kidanganyifu usione ajabu kudanganywa
Mtu alochaguliwa anawezaje kujihami na sheria kandamizi kiasi hikiKwanini mkuu wakati kachaguliwa na sisi Watanzania
Inahitaji ujasiri mana wadanganyika waogaNa ataondoka kidanganyifu
Watapata ujasiri tu hasa baada ya hii sheria moyaInahitaji ujasiri mana wadanganyika waoga
Achana na matamko ya kwenye campaign jikite kusonga mbele kivyako kwani ni wabunge wangapi wametekeleza kila walichoahidi?Bora hata Jiwe kuna baadhi ametekeleza.1. "Milioni "50" kila kijiji".. Looh!!
2."Ajira za kumwaga"....duuuh!! Nadhani mnajionea kinachoendelea huko uswahilini.
3. "Mwendelezo wa Rasimu ya katiba mpya"...(ameshasema Hapangiwi/hamna fedha za kuchezea hapa)
4. "Tanzania ya viwanda"...sijapenda kucheka "mniwie radhi" maana vyerehani vimekuwa vingi kuliko washonaji.
5. "Dhana ya uhakiki".....hapa tumechotwa!! Miaka mitano inaishia hivyo kila siku uhakiki.
6. "Maendereo hayana chama"...wakati huohuo inatoka kauli, nanukuu "haya yote nafanya kwa sababu ya hao waliovaa nguo za (Kijani) "
7. "Hakuna kuangaria Bunge Raivu, nataka watu wachape kazi"......Wakati huo yeye yupo live kwenye "TBCCM" na ni muda wa Kazi.
8. .......
9. ........
10. .......
#We have a long way to go.
#Uvumilivu wa Watanzania hauna mfano duniani
#Ukitaka kumtawala "mtu" mnyime elimu bora (Mpe elimu bure)
Louis II
1. "Milioni "50" kila kijiji".. Looh!!

Na hofu yangu kuu ni hii hii sheria mpya ya vyama vya siasa naona kabisa wanasiasa wachache watakaojitokeza kusimamia na kutetea wanyongeWatapata ujasiri tu hasa baada ya hii sheria moya
Uzuri wake Lissu anailipua nje tukikazazna kuilipua ndani nyama itaivaNa hofu yangu kuu ni hii hii sheria mpya ya vyama vya siasa naona kabisa wanasiasa wachache watakaojitokeza kusimamia na kutetea wanyonge
Achana na matamko ya kwenye campaign jikite kusonga mbele kivyako kwani ni wabunge wangapi wametekeleza kila walichoahidi?Bora hata Jiwe kuna baadhi ametekeleza.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli kabisa wacha waliolala na wenye uoga waendelee kuuamshwa na kupewa ujasiri kwa kuwekewa wazi yaliyo nyuma paziaUzuri wake Lissu anailipua nje tukikazazna kuilipua ndani nyama itaiva
Kama uko current utajua tu labda km wewe si mfatiliaji kwa uchache, elimu bure, kununua ndege,kujenga miundo mbinu mbali km vile barabara, vituo vya afya, hosipitali za wilaya,Kahidi kutoa pesa kwa watu na taasisi na ametoa, so vyote ameweza kutimiza lkn anajitahidi.Tuachane na matamko ya kwenye campaign how?? you can't be serious nigga yan unataka tupotezee uongoo ambao unatucost!!
Ebu mention apah vitu ambavyo kateleleza kwenza ili twende sawa
Kila mtu "Magufuli Magufuli"..miaka fulani mambo yali tight kila mtu akalia eti "Ukapa Ukapa" wakimaanisha mipango ya mstaafu Rais BMW alileta hali ngumu ya mpito..Mwanzoni mwa utawala wake ilikuwa kila gazeti linamwandika yeye tena vizuri. Vijiwe vyote kuanzia vya kahawa, daladala, bar na maofisini story alikuwa ni yeye tena watu wakimsema kama malaika mkombozi.
Ghafla upepo ukabadilika, watumishi wakaanza kukosoa utumbuaji majipu, wafanyabiashara wakakosoa mbinyo wake kwenye kodi, wanasiasa wakahoji style yake ya uongozi. Wananchi wa kawaida wakanigwa na maisha magumu (ingawa hawa bado wamebakiza kaimani fulani). Vyombo vya habari wanalalamikia kuminywa uhuru wao.
Kiujumla upepo unavuma vibaya kwa JPM naye ameshakiri ugumu wa kiti chake mpaka akasema angejua asingegombea urais. Je, rais wetu amekosea wapi mpaka hali imegeuka mapema hivyo?
Wabongo sijui mmerogwa kuwa wajinga, ujinga huu siyo wa kawaida.Achana na matamko ya kwenye campaign jikite kusonga mbele kivyako kwani ni wabunge wangapi wametekeleza kila walichoahidi?Bora hata Jiwe kuna baadhi ametekeleza.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwanzoni mwa utawala wake ilikuwa kila gazeti linamwandika yeye tena vizuri. Vijiwe vyote kuanzia vya kahawa, daladala, bar na maofisini story alikuwa ni yeye tena watu wakimsema kama malaika mkombozi.