Magufuli amekosea wapi, mbona 'anachuja' haraka?

Yaani CCM madudu ni yale yale, huyu Ngosha naye anadhani kuongoza ni ubabe pasi kutumia demokrasia. Mawaziri wake wako kimya sasa, wanashindwa kufanya maamuzi magumu kwa dhamana ya wizara zao kwa hofu ya kutumbuliwa. 2020 hawa mburula ni lazima waende.
 
Nchi hii bila ubabe hamuwezi kwenda!!;angepita japo makotopola ndo mngenyooka zaidi!
 
mpk...

Huu uzi umenigusa. Unajua nini? Huyu Magu mwisho wake utafanana na ule wa Mkapa....ikulu kuungua kwa pasi na nyaraka kutoweka,...kujilimbikizia mali dakika za mwisho wa utawala wake baada ya kuona Unyerere unamshinda. Arudishe bunge letu live tuwahukumu wabunge kwa matendo yao.
 
jamaa miezi karibu saba ikulu hakuna cha maana njia za kumkwamua Mtanzania hazionekani amebaki kutishiya watu kila Nyanja mimi na jiuliza kimempata nini majaliwa mbona haendi na makaratasi tena kwenye taasisi
 
Unaota mkuu mchana
 
Jibu hoja utakuwa umemsaidia yeye na taifa, mashambulizi kwa mtu aliyeonyesha kile kinachoonekana hayasaidii
Umesema kweli na KISHUJAA nakupa BIG BRAVOOOO,.,,., JAMANI TUWE WAWAZI MTU ANAPOKOSEA SIO KUTOA KASHFA,..,.PERIOOOOD.
 
NA KUACHIA DEAL ZA MZEE WA TEZI DUME ZINAENDELEA TENA KWA KASI NA WAARABU NDIO VINARA,BANDARI, FORODHA,WAKALA WA MIZIGO,LAKE OIL NA MENGI TO NAME BUT FEW,,ETI NATUMBUA MAJIPU HAAA WE ACHA TUU,SUKARI SHS 5000 NA INGINE IMEPINDUKA LEO IKAUA PUNDA 19.
 
Wewe ndoo unchuja. JPM HAWEZI CHUJA NA wala hatachuja. Iliyochuja haraka NI CHAMA la manyumbu Yaani CHADEMA
 
NA KUACHIA DEAL ZA MZEE WA TEZI DUME ZINAENDELEA TENA KWA KASI NA WAARABU NDIO VINARA,BANDARI, FORODHA,WAKALA WA MIZIGO,LAKE OIL NA MENGI TO NAME BUT FEW,,ETI NATUMBUA MAJIPU HAAA WE ACHA TUU,SUKARI SHS 5000 NA INGINE IMEPINDUKA LEO IKAUA PUNDA 19.
Na bado itafika ten!;mtaisoma namba!!
 
Sukar ya nn!!;wakati serengeti 2500/ tu!!;ahahaaa
 
...katika maisha kuna kupanda na kushuka lkn huyu 'mtukufu' badala ya kupanda alikwea na kawaida ya anayekwea huwa hashuki bali anaporimoka...
"..the harder they come, the harder they go....."
...katika maisha kuna kupanda na kushuka lkn huyu 'mtukufu' badala ya kupanda alikwea na kawaida ya anayekwea huwa hashuki bali anaporimoka...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…