Magufuli amekosea wapi, mbona 'anachuja' haraka?

Suala la sukari kuadimika limemtia doa sana Rais Magufuli.Washauri wake hawakumshauri vizuri.Kitu kingine kama alivyosema mchangiaji mmoja humu,awe makini na media.Si ya kutumia sana na si ya kukaa nayo mbali.Mungu ibariki Tanzania
 
Hana tofauti na aliyepita,Kikwete alipuuzia mambo ya msingi Kama escrow,epa,huyu naye anajifanya haoni lugumi na kashfa zingine ila alianza na bwembwe tu.hana kipya
 
Hana tofauti na aliyepita,Kikwete alipuuzia mambo ya msingi Kama escrow,epa,huyu naye anajifanya haoni lugumi na kashfa zingine ila alianza na bwembwe tu.hana kipya
Tunaongeza majina ya kashfa
 
''Kabla haujafika mwaka mtu huyu atapotea kwenye uso wa Dunia na tanzania ikiwemo'' haya yalikuwa maneno ya jamedari aliyeitoa kamasi ccm wakati wa uchaguzi,Ngul wa siasa Komredi Edward Ngoyai LOWASSA, baada ya siku mia moja za Broo Magu Ikulu.

Ni ukweli usiopingika kuwa broo, raisi watumbua jipu,style sasa majipu ameanza kuyaogopa majipu, wapinzani wakina tundu lisu wamemtisha, pale walipowataka waliotumbuliwa kwenda mahakani, sasa broo magu nje ya kick ya majipu ana kick gan?

ndo imetoka hiyo, ikirudi pancha, ukiinua shingo tu 2020, ccm ndembendembe, mwendo wachali, ukigeuka ccm ndo imeondoka madarakani.pole broo magu kwa kuvunja rekodi ya kuwa rais alyekaa madarakani miaka 5.

jifunzeni mnao taka kutuongoza, sisi hatuongozeki kwa matukio,jipangeni you should have a plan.

Bye ccm, bye Broo, tunakusubiri

najua nyumbu, wa pale Lumumba mnao jikomba mpate ukuu wa wilaya mnanisubitri nimalize kuandika haya nimemaliza njooni mtukane kama kawaida yenu, ila kira atakae tukana tusi limrudie na kumfanya vibaya.
 
Kwahiyo umezoea maisha magumu.
 
Jamiiforums ingekuwa ndio Tanzania rais wa awamu ya nne angekuwa Dr Slaa na wa awamu ya tano angekuwa Lowassa.

Bahati mbaya huko mtaani ukisha sign out JF hali ni tofauti kabisa. Magufuli still anaeleweka sana na maraia sana sana naona watu hawataki kusikia kitu kinaitwa Ukawa.

Tuacheni kujidanganya masela.
 
Umesahau!!;walideki na barabara!!;alf sahv wanatoa maneno ya dua ya kuku!!;kama anaona maisha magumu ni wao si tunasonga mbele!!
 
Safi sn!!;hawa wazungusha mikono wanataka kutuletea ramli za JB!!;pelekeni huko c tunasonga mbele viva JPM
 
 
Hakuna mafanikio mara moja!!;wote hawa wameharibiwa doliendo zao ndo maana mapovu yanawatoka!!;nan kawambia life mtaani ni gumu!!;kwa wale wazee wa shortcut ndo gumu!!;watulie sindano inaingia!!
 
Unalalamika sukarsukar!!;bia elf 3000 na watu hawakauki bar mandy to Sunday!!;mmekuwa wanaharakati!!?
 
Kama huko mtaani wapo ambao wanamuelewa ni wale maskini wa mali na akili,mbumbumbu kama wewe maana wamemezeshwa sumu kwamba umaskini umeletwa na matajiri so wanasubiri matajiri wafilisiwe ili wapewe wao mali,endeleeni kusubiri sukari ya bure na watakufa huku wakidanganywa na fisiem
 
Jamaa,kapoa saana.mpka,namuhurumia,,,siku ile ameshtukiza airport nlitegemea mtu atumbuliwe..maana yule maza alimdanganya lkn hakufanya hvo.asa nkajiuliza,mbona Mama Kilango alidanganyq na yy lkn akatumbuliwa
Acha ujinga ww!?;kwn yule ni mteule wake!!?;nenda airpot ka utamkuta!!;ye afata taratibu!
 
CCM ndo inamponza huyu Mzee, otherwise he is the best president. Huu ndo ukweli jamaa wanachukia lakin lazima tuseme ukweli.
 
Msimwonee JPM jamani. Anajitahidi sana. Tatizo tu ni kwamba, wakati anagombea ukuu wa nchi, alifikiri maadui zake wakuu ni akina Mbowe na Lowassa. Lakini baada tu ya kuingia madarakani, kagundua the enemy of the people ni lile lile dude la kijani! Kwa hiyo analazimika kufanya maamuzi magumu kila wakati... shoot on his his own foot.
 
Na huu ndo ukweli, huwa nashangaa JPM amachuja wapi? Mtaani kwa kweli ukawa wana kazi ya ziada.
 
Exactly!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…