Magufuli amekosea wapi, mbona 'anachuja' haraka?

Serikali ya Awamu ya Tano haiendeshwi kwa MIHEMKO Kwa Sera za MATUKIO.Hadi Mtaisoma Namba Na kashfa zenu na kukosoa kwenu Hakutambadili wala kumkatisha Tamaa kusudi Atimize SUDI lenu.Anachokisema ndicho Anachotenda na Anaishi katika kutenda yale Anayoyaamini.Nanyi Mpate japo hoja ya kusema na kuzoza humu JF na wengine Mjengoni kwani katika Miezi hii SITA na ushei.Mmetufanyia nini haswa Watanzania wakasema au kuwaongeleeni.Na safari hii Mmefika Tutarudi kwenye Mstari.
 
Mkuu jibu hoja siyo kioja
 
Ukweli wa mungu sijaelewa umeandika nini
 
Dr.JPM kamkuta mgonjwa ana multiple infections. ...anatibu zaidi ya ugonjwa mmoja..good news ni kwamba mgonjwa anaendelea vizuri
 
Tembo anabebeshwa ubongo wa kuku
Unapochangia hoja jaribu kutumia lugha ya staha hasa inapokuwa mhusika ni mheshimiwa. Ustaarabu na heshima ni kitu cha bure. Usiwatukanishe waliokuzaa na kukulea kuwa hawakutimiza wajibu wao ulipokuwa mtoto hadi ukikua.
 
Unapochangia hoja jaribu kutumia lugha ya staha hasa inapokuwa mhusika ni mheshimiwa. Ustaarabu na heshima ni kitu cha bure. Usiwatukanishe waliokuzaa na kukulea kuwa hawakutimiza wajibu wao ulipokuwa mtoto hadi ukikua.
Wewe ni yupi hapo?
 
Utakuwa umelala gheto Kwa Lugumi si bure ! Maana Uandishi huu umejaa Unafiki mwingi .
 
Anafagia Kwa kukwepa kwepa akiona JIPU ni la rafiki yake analikwepa mfano sasa kalikwepa JIPU la Mwakyembe , January na sasa kitwanga na Lugumi anatumia Sukari kuwasahaulisha Majipu ya hao watu, miezi 7 humo humo hayo Majipu yangetumbuka na tafasiri yako ya kufanya makubwa ingeleta maana.
 
Hizi ni njama za mafisadi wahujumu uchumi na wapiga dili
Watatulia tu
Njama zipi fafanua Vizuri au wewe ni escrow ? au wewe ni Lugumi ? au wewe ni mzabuni wa kununua mabehewa chakavu ? inaelekea kuna ulaji unafaidi na Magufuli hajakugusa kabsa.
 
Mtukufu rais mzuri sana ndio tanzania ya sasa vinginevyo mtaishi maisha ya kishetani. Maskini ccm wamekuwa wanyongeee mishemishe kwenye chama jiiiii
 
mkuu si kwamba watu hawaoni kazi ya Magufuli , watu wanaipenda na kuikubali sana lakini Tatizo kubwa ni pale alipoanza kukwepa baadhi ya Majipu ya rafiki zake wakubwa .
 

vile tushaanza kula breakfast ya chapati kwa migagi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…