Nebuchadinezzer
JF-Expert Member
- Oct 1, 2018
- 1,403
- 2,550
Mimi Binafsi nimefurahi Sana nafsi yangu, nyeupee, Maana wapinzani hata wangeshinda kumi bado wangekosa kura ya veto.
Bunge lijalo hakuna Tena Upinzani uchwara, Nichama tawala pekee Asante Sana Magufuli na Hongera kwa Ushindi,
"ACHA KAZI IENDELEE"
[emoji23][emoji23][emoji23]upinzani wa kweli utatokea ccm.Acha Tanzania iwe kama Dubai ndani ya 5yrs hamna anae kwamisha maendeleo saivi, ilaaa mmmh
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ebu na tusubiri tuone mabomba ya maji na maziwa nchi nzimaMimi nimefurahi Ila Raisi apumzike alale maana aliamini umaskini unaletwa na upinzani Sasa wamebaki ccm,tutaona nchi yetu ikiendelea kwa kasi ya 5g Kama USA, ajira kuwa bwerere, maisha kuwa mazuri
Acha wakapigane wenyewe kwa wenyewe risasi sisi tutashangilia[emoji23][emoji23][emoji23]upinzani wa kweli utatokea ccm.
Du ngoma bado haijaisha tu[emoji23][emoji23]
Uchaguzi huu umenikumbusha ule wa Sadam Husein alioshinda kwa asilimia mia moja.Msema kweli ni mpenzi wa Mungu. Acheni niseme ukweli hata kama utanigharimu ila kikubwa nafsi yangu irizike...
Mwisho wa siku ikawaje?Uchaguzi huu umenikumbusha ule wa Sadam Husein alioshinda kwa asilimia mia moja.
Wale waliomshindisha kwa kishindo ndio wanaojua walichomfanya.Mwisho wa siku ikawaje?
Nasikia ata gadafi libya nae aliangukia pua.Wale waliomshindisha kwa kishindo ndio wanaojua walichomfanya.
Mamlaka ya juu sii yapo kwa wananchi?
Wangesema tayari MATOKEO anayo ni vyema kufata Kanun na desturiMsema kweli ni mpenzi wa Mungu. Acheni niseme ukweli hata kama utanigharimu ila kikubwa nafsi yangu irizike...