Magufuli ameanza kunichosha kabisa

Magufuli ameanza kunichosha kabisa

Joined
Nov 20, 2015
Posts
90
Reaction score
16
Jamani Magu anadai kua hakuna mfanya biashara aliemchangia na kuna tetesi Anthony diallo yule fisadi wa Star Tv kuwa waziri nmeiskia asubuhi kwenye tuongee magazeti. Sasa akimteua Diallo si ndo kufadhili marafiki yani hapa ndo nitajua unafiki wa Magu.
 
Ampe tuu huyo na chenge, Tibaijuka, Werema, watamsaidia saaana ktk falsafa yake ya hapa zika tuu.
 
jamani magu anadai kua hakuna mfanya biashara aliemchangia na kuna tetesi Anthony diallo yule fisadi wa star tv kuwa waziri nmeiskia asubuh kwenye tuongee magazeti. sasa akimteua diallo si ndo kufadhili marafiki yan hapa ndo ntajua unafiki wa magu

ufisadi wa dialo ni upi..? tuanze hapo kwanza.... au kila mfanya biashara kwako ni fisadi...?
 
jamani magu anadai kua hakuna mfanya biashara aliemchangia na kuna tetesi Anthony diallo yule fisadi wa star tv kuwa waziri nmeiskia asubuh kwenye tuongee magazeti. sasa akimteua diallo si ndo kufadhili marafiki yan hapa ndo ntajua unafiki wa magu
Mkuu kama uko UKAWA na ni TeamLowassa utachoka sana miaka hii mitano.
 
jamani magu anadai kua hakuna mfanya biashara aliemchangia na kuna tetesi Anthony diallo yule fisadi wa star tv kuwa waziri nmeiskia asubuh kwenye tuongee magazeti. sasa akimteua diallo si ndo kufadhili marafiki yan hapa ndo ntajua unafiki wa magu
Amekuchosha alikuwa anakufanya nini kwani.
 
Tena mwaka huu utachoka sana kubali au kataa ila utachoka sana pole sana hiyo ndiyo kasi ya magufuli bana.
 
Diallo alishiriki kama mfanyabiashara ama mwana CCM na MWENYEKITI wa CCM MKOA?
 
Hata waliokwepa ushuru wa makontena zaidi ya 300 wanalipa kiasi cha kodi kilichokuwa kinastahili tu, wamesamehewa kutokulipa faini, hiyo hawatailipa. Sasa huku si ni kuwabembeleza wakwepa kodi? Upande wa pili wa shilingi wafanyakazi waliohusika na sakata hilo wamekamatwa na wako rumande mpaka hapo hukumu dhidi yao itakapotoka. Kwa nini kunakuwa na double standard kwenye utoaji haki wakati wote wameshiriki kosa hilo hilo moja? Source "The Guardian" ya leo.
 
Uzi wako umeuandika saa 06:47 leo asubuhi, hiyo tuongee magazetini ya lini? Maana nami nimeangalia leo sijaona wala kisikia hii kitu!
 
Kama umeanza kuchoka hata miezi miwili bado sijui utakua hali gani itakapofika miaka mitano!! Una hali ngumu, jipange
 
Tena mwaka huu utachoka sana kubali au kataa ila utachoka sana pole sana hiyo ndiyo kasi ya magufuli bana.

Na hii ni wiki ya 6 tu toka aingie madarakani, watu pumzi zishaanza kukata! Mpaka kufika miaka 5 au wiki 260, watu watazikwa wengi! Bado wiki 254 za kuchoka hawa jamaa!
 
Ukawa wameishiwa agenda. Kama ya ufisadi wao ndo wanaufuga na kuutetea. Kama wqsipokuja na agenda timamu chadema itakuwa kama Dp tu.
 
Jamani Magu anadai kua hakuna mfanya biashara aliemchangia na kuna tetesi Anthony diallo yule fisadi wa Star Tv kuwa waziri nmeiskia asubuhi kwenye tuongee magazeti. Sasa akimteua Diallo si ndo kufadhili marafiki yani hapa ndo nitajua unafiki wa Magu.

Mkuu wewe naye sasa unajifanya hukumsikia huyo Magu katika moja ya mikutano yake akisema "HUYU BWANA DIALLO NAYE TUTAMKUMBUKA"!?

Sasa mengine endelea kuunganisha dots utakamilisha jambo linalokusumbua.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom