Mnatakiwa kuelewa kuwa mazingira anajifanya kazi magufuli ni magumu...
Kama ungefuatilia posts zangu za nyuma, hususan nilipopata direct feedback kutoka kwa mtu aliye claim kwamba anafanya kazi TANROADS akamtetea Magufuli, ungeona kwamba nilishaliongelea hili na kukubali kwamba mie sijui hali halisi kama huyu mtu wa TANROADS na labda bongo inabidi watu waendeshwe ki-ng'ombeng'ombe.
yupo kwenye baraza kwa mapenzi ya wananchi na viongozi wastaafu....
Hili sina uhakika nalo na siwezi kuongea sana, isitoshe rais akishamteua waziri mimi nachukulia "in good faith" kwamba waziri yupo kwenye baraza kwa mapenzi ya rais, lakini hili halimaanishi kwamba rais hawezi kuwa anajenga some sort of political coalition bila yeye kumtaka mtu.
mnaongelea collective responsibility......mbona hamkumtetea rais na waziri mkuu walipomkemea hadharani kwa kutekeleza sheria ya kuvunja nyumba zilizo kwenye hitadhi ya barabara......
Unless una uwezo wa ku serach posts zote humu sioni kwa vipi utakuwa na uhakika na hili. Two wrongs do not make a right. Collective responsibility ni a core principle of governance, kwa hiyo sijali nani kavunja principle hii, ukikosa umekosa tu, uwe Kikwete au Magufuli. Naongea principles, sio watu. Wananchi tukiona Magufuli anazozana na Mkulo kuhusu fedha, hatujali Magufuli wala Mkullo, tunaona "serikali ya CCM inachemsha, mawaziri wanajibizana wazi kama watoto, kazi haziendi".
[/QUOTE]na sasa wanakwwmisha wazabuni wa barabara ili aonekane hafanyi kazi...[/QUOTE]
Nchi yetu imeoza ila siamini imeoza kiasi hiki. Hili linawezekana kweli? Serikali ya CCM imkwamishe waziri wake kisa tu asionekane mchapakazi. Ndipo tulipofikia hapa kweli? Kuna ushahidi gani unaokufanya useme hivi? Au una perpetuate urban legends tu? Hivi kama Kikwete hamtaki Magufuli anashindwa nini kufanya reshuffle na kumtoa tu? Kitu gani kitatokea?
a syndicate...naona ni safi kabisa ameongea wazi ili wajuwe tatizo la barabara kuckelewa Kwisha linaanzia wapi....
Naelewa kwamba inawezekana kaongea hata kwenye cabinet hawajamsikiliza, sasa anasema in the court of public opinion kama nilivyosema earlier. Lakini hata hili lina signify a decay in governance.
au tatizo la baadhi ya wakandarwsi Wenye miraji kidogo kulipua barabara......hawalipwi kwa wakati!!!!!!!!! Ni wazi kuwaambia Wenye nchi kwani tangu January 2011 wakandarasi wanadai billion 700 kwanini hawalipwi ...wakati miradi mingine inajengwa na pesa za mikopo au za wafadhili amabazo wizara ya ujenzi in a taarifa zipo hazina...wanaficha za nini?............mbona mkapa alikuwa anajenga barabara na hata mradi wa maji lake victoria kwa pesa za ndani na wazabuni wanalipwa na waziri akiwa magufuli,....sembuse pesa za grant
Huwezi kuwa Mkatoliki halafu ukamhadaa Papa, alisema Msuya. "Collective Responsibility" ina demand kwamba unapochaguliwa kuwa waziri, unaangalia nitafanya kazi na nani? Rais Kikwete? Waziri wa Fedha Mkullo? Vilaza hawa, siwezi kufanya nao kazi. Unakataa, unaenda CHADEMA unakuwa mpinzani. Ukikubali maana yake huwezi kuwa undermine wenzako kwenye vyombo vya habari. Au wakikuzingua unajiuzulu serikalini, then kama unataka kuwablast unawablast. Huwezi kubomoa nyumba wakati umo ndani ya nyumba hiyo hiyo, utaumia.
Zaidi ya hapo, nilisema yafuatayo nikiangalia the short term solutions vs the big picture. Magufuli inabidi a focus kote, huku kuhamaki kila siku ni indication ya mtu anaye focus kwenye daily operation bila ya kuwa na a big picture strategy
Ikiwa inabidi Waziri ahamaki live ili kazi ifanyike, avunje kanuni za "collective responsibility" na kuacha kutumia communication channels zinazohusika, tuna tatizo kubwa katika the larger framework ya politics zetu kiasi kwamba hata kama Magufuli atapata results at the operational level, the strategic framework is crumbling.