Magufuli amchana Mkulo

Jana wakati Bw. pombe anasaini mkataba wa ujenzi wa barabara ya mabasi yaendayo kasi Dar, alimuwashia moto Bw. Mkulo kuwa wizara yake inachelewesha malipo ya wakandarasi na kufanya miradi ichelewe kumalizika. alisema ""
"Na hili nalisema hapa kutokana na mwakilishi wa Ofisi ya Waziri wa Fedha kuwa mahali hapa," alisema Magufuli na kumgeukia ofisa huyo wa Wizara ya Fedha na kumwambia:
"Mwambie Waziri Mkulo awalipe fedha makandarasi wanaodai, salamu hizo mfikishie huko aliko, makandarasi wanaidai serikali," alisema.
Bila kutaja kiasi ambacho serikali inadaiwa, Magufuli alimtaka Waziri Mkulo kulichukua jambo hilo kwa uzito wa kipekee na kuanza kulipa madeni ya makandarasi kuanzia sasa, ili Wizara ya Ujenzi iweze kuwabana vizuri pale wanaposhindwa kukamilisha ujenzi kwa wakati.''
source: TANZANIA DAIMA YA LEO

Ina maana hawa jamaa hata kupigiana simu hawawezi mpaka wavuane magamba kwenye TV??? Kazi ni kwake baba riz.

Mkuu! hakuna kitu hapo. Wote ni comedian. Wanatuzuga Watz. Sasa kelele zake za kusema Makandarasi wote lazima wajenge pasipo malipo anadhani watajenga kutumia misukule? Naye ndiyo wote walewale, hakuna lolote.
 
Duh,

Ushawabatiza majina "Msevi" na "Maguri".

Serikali inayoendeshwa kwa rais kufokeana na waziri in the open kama watoto haina discipline wala collective responsibility. Kimsingi serikali yote inatakiwa kufanya kazi kama kitu kimoja, serikali ya CCM. Sasa tukiona Waziri mmoja anamtupia lawama mwingine sisi hatujui cha Magufuri wala Mkullo, tunachoona ni kwamba serikali ya CCM inashindwa kazi.

Magufuri kwa upande mmoja yuko sawa, kwa sababu sijui kachukua hatua gani mwanzo huko, huenda kashindwa kote kaona amshitaki kwenye court of public opinion.

Lakini typically haya ni mambo ya Magufuri, Mkullo na Kikwete kuongea kwenye cabinet meetings.

Sijui hata kama hizo cabinet meetings zinakalika.

nimekuelewa mkuu
 
Jana wakati Bw. pombe anasaini mkataba wa ujenzi wa barabara ya mabasi yaendayo kasi Dar, alimuwashia moto Bw. Mkulo kuwa wizara yake inachelewesha malipo ya wakandarasi na kufanya miradi ichelewe kumalizika. alisema ""

“Na hili nalisema hapa kutokana na mwakilishi wa Ofisi ya Waziri wa Fedha kuwa mahali hapa,” alisema Magufuli na kumgeukia ofisa huyo wa Wizara ya Fedha na kumwambia:

“Mwambie Waziri Mkulo awalipe fedha makandarasi wanaodai, salamu hizo mfikishie huko aliko, makandarasi wanaidai serikali,” alisema.
Bila kutaja kiasi ambacho serikali inadaiwa, Magufuli alimtaka Waziri Mkulo kulichukua jambo hilo kwa uzito wa kipekee na kuanza kulipa madeni ya makandarasi kuanzia sasa, ili Wizara ya Ujenzi iweze kuwabana vizuri pale wanaposhindwa kukamilisha ujenzi kwa wakati.''

source: TANZANIA DAIMA YA LEO

Ina maana hawa jamaa hata kupigiana simu hawawezi mpaka wavuane magamba kwenye TV??? Kazi ni kwake baba riz.

Duuuuh
 
Jibu ni rahisi tu hapa. Nyumba (nchi) haina baba (raisi) ndo maana kila mtu anaongea anavyotaka. Nahisi kama magogoni ameshauziwa George Bush
 
Kinachosikitisha hapa sio nani kasema uwongo au ukweli shida ni kwamba tunayo serikali ya namna gani ambayo haina mfumo unaoeleweka wa mawasiliano?
Sio kitu cha kushabikia hiki, naamini bado mnayakumbuka yaliyojiri bungeni kuhusu posho kila mtu anasema lake hii ni hatari sana kuweza kupata tafsiri sahihi ya kitu kiitwacho "uwajibikaji wa pamoja".

Mwanzilishi wa mtindo huu ni EL na wakati ule tulimsifia sana tukaona yeye ni bora kuliko wengine.Na mpaka sasa tunamshabikia kwamba ni mchapakazi
 
Anajua kucheza siasa za hapa Bongo, asiyeamini mbambanishe kwa kura na Mawaziri wenzake hata JK atawafunika ile mbaya.Binafsi naamini Rais yoyote hata kama atatoka CDM hatamwacha Magufuli. Bajeti ya Wizara yake ilijaza pesa mpaka za akiba huku mawaziri wa Uchukuzi, elimu, maji nk wakiombewa fedha zipunguzwe kwenye wizara yake na Upinzani, anaogopwa na Mkulo na maofisa wa Hazina na hayumo kwenye kundi la JK na hajipendekezi kwake lkn hana jeuri ya kumwacha kwenye Baraza lake.
 
Mwanzilishi wa mtindo huu ni EL na wakati ule tulimsifia sana tukaona yeye ni bora kuliko wengine.Na mpaka sasa tunamshabikia kwamba ni mchapakazi

Hii inarudi nyuma tangu kwa PM Edward mwingine kutoka Monduli, Moringe Sokoine.
 
Ron Paul is not a populist, he adopts some very controversial positions that defies the American political orthodoxy in a way that threatens his chances.

Huwezi kusema mwanasiasa anayeadvocate general legalization ya marijuana na prostitution, abolishing the Federal Reserve na kusimamisha vita zote abruptly ni "populist". Hizi si popular positions.

Kama unahitaji kuchaguliwa basi ni lazima u-advocate what the majority of your voters will consider "convenient" otherwise no one votes for you, now to the best of my knowledge, the gentleman you have indicated as a paladin of "non-populism" is an elected politician in Texas - this implies that the majority of the voters of his costituency consider him to be a personification of their political creed or if you like views now that is populism!!! mind u i don't consider the terminology as denigratory!

so again I still believe that all politicians are populist,mutatis mutandis

Magufuli siyo Jembe bali hiyo ndiyo style yake ya kung`arisha jina lake ili wananchi wamuone yeye ndiyo mkweli na mchapakazi pekee. Hakuna ambacho huyu Pombe hakijui juu ya ukata unaoikabili hazina.

anaosha nyota yake kwa gharama za wengine!
 
Kama unahitaji kuchaguliwa basi ni lazima u-advocate what the majority of your voters will consider "convenient" otherwise no one votes for you, now to the best of my knowledge, the gentleman you have indicated as a paladin of "non-populism" is an elected politician in Texas - this implies that the majority of the voters of his costituency consider him to be a personification of their political creed or if you like views now that is populism!!! mind u i don't consider the terminology as denigratory!

so again I still believe that all politicians are populist,mutatis mutandis

[/B]

Kuna politicians wengine wana run ku advocate core principles fulani regardless ya popularity ya hizo positions. Huwezi kuwaita populists.

Halafu hapo hapo, kuna populace kama ya Marekani imegawanyika evenly kati ya conservatives na liberals, with a middle ground of independents, kwa hiyo mwanasiasa yeyote hawezi kuwa populist per se katika setup kama hii, kwa sababu anapokuwa populist kwa sample space ya Republican Conservatives/ Libertarians wanaotaka ku abolish Federal Reserve, huku Liberal Keynessian wanaoamini serikali ina nafasi kubwa katika kupanga na ku regulate uchumi anakuwa anti-populist.

This "every politician is a populist" assertion is limited. Madikteta kibao wanawakandamiza watu wao kwa nguvu, hawahitaji kuwa populist wala hata uchaguzi. Wengine wana uhakika wa kuiba kura hata wakiwa wanakubali uchaguzi.

Mkapa alikuwa anawatukana waandishi wa habari live na kutumia fiscal policy kuondoa hela kwenye mzunguko kiasi cha watu kumchukia na kuiita hali hiyo "Ukapa", lakini despite the backlash hakuyumba, matokeo yake ali-contain inflation na ulikuwa huwezi kuona hii 20% inflation tuliyo nayo sasa. Huyu rais alikuwa hawaambii watanzania kwamba wao ni watu wachapa kazi wazuri sana (a typical populist statement) bali alikuwa anawaambia waache uvivu na kufanya kazi zaidi. Utamuitaje huyu mtu populist? Alikuwa anaandikwa vibaya na magazeti kila kukicha, hata humsikii kujibu.

Hivi lile li-Sani Abacha, li-rais limejifungia Ikulu halionani na mtu save a few of his crony, nalo lilikuwa populist?

Utasemaje "every politician is a populist" ?
 
Hi Mr. Kiranga!
Just a simple question, what do you mean by "populist or populism???
As I stated in my very first responce all politicians are populists by definition - now according to the cambridge dictionary POPULISM - "political ideas and activities that are intended to represent ordinary people's needs and wishes!! i don't see anything wrong with that,do you???

nimeona ktk majibu yako umeongelea" madikteta kibao wanawakandamiza watu wao kwa nguvu..." Am I arguing with someone who doesn't know the difference between a DICTATOR and a POLITICIAN??? Nataka kuamini kuwa umeteleza katika hilo, au nakosea???

Umezungumzia Mkapa hakuyumba ktk uongozi wake despite people's rage regarding his fiscal policies - you should know better than I do that democracy is incompatible with poverty so what Mkapa did and consequently how people reacted have no meaning to me simply because Tanzania being a poor country hence non-democratic(mutatis mutandis!!) its(her)people count less to the politicians once (they) are in power...anyway that probably is a new topic.
 
Mr. Kiranga!!
I said in my very first posting regarding the topic in question that the POPULISM/POPULIST terminology is highly abused and unfortunately you're among those who misuse that terminology in the denigratory manner, do you think statism is better than populism??? Personally I don't as I really believe that every person regardless of his social status, should perticipate in moulding the decisions which (might/may) define his fate.
 
Jana wakati Bw. pombe anasaini mkataba wa ujenzi wa barabara ya mabasi yaendayo kasi Dar, alimuwashia moto Bw. Mkulo kuwa wizara yake inachelewesha malipo ya wakandarasi na kufanya miradi ichelewe kumalizika. alisema ""

Na hili nalisema hapa kutokana na mwakilishi wa Ofisi ya Waziri wa Fedha kuwa mahali hapa, alisema Magufuli na kumgeukia ofisa huyo wa Wizara ya Fedha na kumwambia:

Mwambie Waziri Mkulo awalipe fedha makandarasi wanaodai, salamu hizo mfikishie huko aliko, makandarasi wanaidai serikali, alisema.
Bila kutaja kiasi ambacho serikali inadaiwa, Magufuli alimtaka Waziri Mkulo kulichukua jambo hilo kwa uzito wa kipekee na kuanza kulipa madeni ya makandarasi kuanzia sasa, ili Wizara ya Ujenzi iweze kuwabana vizuri pale wanaposhindwa kukamilisha ujenzi kwa wakati.''

source: TANZANIA DAIMA YA LEO

Ina maana hawa jamaa hata kupigiana simu hawawezi mpaka wavuane magamba kwenye TV??? Kazi ni kwake baba riz.

Ndivyo alivyo, hakwepeshi. Siku nyumba za ghorofa NHC pale Chalinze zinafunguliwa uliza Mwandosya na Kawambwa walijibiwa nini mbele ya President ?
 
Hi Mr. Kiranga!
Just a simple question, what do you mean by "populist or populism???
As I stated in my very first responce all politicians are populists by definition - now according to the cambridge dictionary POPULISM - "political ideas and activities that are intended to represent ordinary people's needs and wishes!! i don't see anything wrong with that,do you???

nimeona ktk majibu yako umeongelea" madikteta kibao wanawakandamiza watu wao kwa nguvu..." Am I arguing with someone who doesn't know the difference between a DICTATOR and a POLITICIAN??? Nataka kuamini kuwa umeteleza katika hilo, au nakosea???

Umezungumzia Mkapa hakuyumba ktk uongozi wake despite people's rage regarding his fiscal policies - you should know better than I do that democracy is incompatible with poverty so what Mkapa did and consequently how people reacted have no meaning to me simply because Tanzania being a poor country hence non-democratic(mutatis mutandis!!) its(her)people count less to the politicians once (they) are in power...anyway that probably is a new topic.

A dictator can be a politician by virtue of political office just as a pope can be a politician by virtue of being a head of state. So it is not true that dictators are not politicians, they are politicians who practise dictatorial politics as opposed to democratic politics.

If what Mkapa did, and how the people reacted has no meaning to you, you have no busines issuing blanket statements about all politicians.

Huwezi kusema "all politicians are populist" wakati kuna nchi kama Tanzania ambayo haihitaji politicians awe populist, Malecela kasema kwa wananchi "You can go to hell", Msuya kawaambia "Kila mtu atauchukua msalaba wake mwenyewe", Mramba kasema "Radar tutanunua hata kama watu itabidi wale majani"

Kweli unaweza kusema "all politicians are populist"?

Halafu naona kama unataka ku revise context ya msemo wako wa "all politicians are populist" iwe valid katika systems zenye true democracy tu, una mu excuse Mkapa kwa sababu Tanzania si democratic (well, are political leaders in non-democratic states not politicians?)wakati msingi wako wa kusema "all politicians are populists" umetokana na siasa kuanzia za Tanzania mpaka za nje.

All blanket statements are bound to be wanting, and yours is wanting in a very significant way.
 
si unamsikia anawaeleza engineers wa ujenzi kuwa hakuna likizo,wanatakiwa kubaki kazini na kufanya ukarabati wa barabara ili watu na kazi nyingine ziendelee kama kawaida
ki ukweli jamaa ni jembe na anaweza
 
Mr. Kiranga!!
I said in my very first posting regarding the topic in question that the POPULISM/POPULIST terminology is highly abused and unfortunately you're among those who misuse that terminology in the denigratory manner, do you think statism is better than populism??? Personally I don't as I really believe that every person regardless of his social status, should perticipate in moulding the decisions which (might/may) define his fate.

Where did I abuse the term? Where did I use it in a denigratory manner? How do you know so?
 
si unamsikia anawaeleza engineers wa ujenzi kuwa hakuna likizo,wanatakiwa kubaki kazini na kufanya ukarabati wa barabara ili watu na kazi nyingine ziendelee kama kawaida
ki ukweli jamaa ni jembe na anaweza

Likizo ni haki ya mfanyakazi. Waziri Magufuri hapa anaweza kuwa accused kwamba ana run a sweatshop type of operation ambayo ni noma. tena anaweza kuwa ana violate kanuni za mikataba ya kazi ya kimataifa iliyopitishwa na International Labor Organization (ILO)

Halafu kiusalama mtu kufanya kazi bila likizo haifai, kuanzia kiafya mpaka katika job auditing.

Hivi Tanzania hamna vyama vya wafanyakazi? Waziri atasemaje watu wasiende likizo?

Au mmekosea kumpata vizuri?
 
ukweri = ukweli

Hivi wewe Fazafoxy kazi ni kurekebisha watu spelling kama hauna cha kuchangia si uwe unapita na kwenda kulala tu au ndiyo style ya kuongeza idadi ya post zako:embarassed2::embarassed2::embarassed2: ziro kabisa
 
Mr.Kiranga!!
I'm still waiting,hope not in vain, your definition for POPULISM thence POPULIST!!
Baada ya kupata definition yako tutahitaji pia ku-define the opposite of POPULIMS i.e. STATISM ndipo utakapogundua kuwa na wewe ni miongoni mwa wale wanao-abuse maana ya hilo neno. Na ninarudia kuwa kila mwanasiasa ni populist by definition na kuna tofauti kati ya Politician and a Dictator - a very HUGE difference by the way the 2 can't even be compared ahahahahahaha ni sawa na kulinganisha kifo na usingizi ahahahahaa
 
Back
Top Bottom