Mkoroshokigoli
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 14,593
- 5,587
Hivi nyie watu mlifikiri ni wizara ipi nyingine ambayo unaweza kuchomoa mapesa kiulaini kama hiyo ya makufuli? ukichakachua km kumi tu una bilioni nane sasa hebu bana tu upana wa barabara kwa mita moja mara mamilioni ya kilometa kama hujaibuka na trilions; tatizo lenu usingizi sana
Ni vizuri tusubiri majibu ya waziri halafu tujadili mada hii tukiwa na habari za pande mbili husika bila hivyo hatumtendei haki jamaa yetu.
Vijana wa BAVICHA bana,
Kwa uzembe na ujinga wa mawaziri vivuli wanaodhaniwa ni BRIGHT BEYOND IMAGINABLE katika vijiwe vya BAVICHA eti leo ndiyo wanakurupuka na kuwatumia vipepereshu waweke hapa JF kusema kuwa Mh. Magufuri akumbwa na kashifa nzito.
Hii report ilishatua mezani kwa Rais tangu tarehe 28/3/2013 na kama sheria ilivyo, within seven days ikawa iko bungeni na soft copy zilikuwa kwenye mitandao toka 10/04/2013.
Kwa sheria ilivyo, serikali hupewa report na muda ili kutafuta majibu ya changamoto na matatizo yaliyojitokeza katika report kabla ya bunge kuanza kuijadili wizara husika.
Kaa mkao wa kula na uachane na umbea bali subiri majibu ya waziri Magufuri na siyo kukurupuka wakati unachokisema kiko zaidi ya mwezi kwa wananchi wanaojishughulisha na kusoma makabrasha mbali mbali.
Halima Mdee amesema wazi bungeni kuwa CHADEMA wanamkubali sana Magufuli na Mwakyembe
MAGUFULI na CAG wote wameteuliwa na MWENYEKITI WA CCM!Kama wameamua kuchafuana bila mmoja wao kutumiwa na mteuaji basi unabii umetimia kwamba" UFALME ULIOFITINIKA JUU YAKE HAUWEZI KUSIMAMA"..Hicho ndicho kifo cha CCM ziii!mtahangaika sana kumchafua pombe lakini itawamwagikia tu na mtanuka wenyewe
acha kuwa mvivu wa kufikiri wewe kama majibu angekuwa nayo angewajibu vijana wa CAG na siyo kusubiri bungeni ambapo hakuna lolote bali ni blablah za politik as usual.
kwa hiyo kashfa iko wapi hapo? si usubiri ufafanuzi wa waziri wakati wa majumuisho
kwa hiyo kashfa iko wapi hapo? si usubiri ufafanuzi wa waziri wakati wa majumuisho
Huyu jamaa nilimshuhudia kwa macho yangu akichukua kipisi cha Nondo anaikagua barabara kwakuigongagonga, na hakuridhika na kumwambia Mkandarasi aliyeijenga barabara hiyo anampa miezi 6 awe ameibomoa na kuirudia upya na kua na kiwango kinachoridhisha ama sivyo anamtimua na hela arudishe!
Chezea John Pombe weyee!
wewe unaamini chochote kinachosemwa na upinzani hasa chadema? Sina imani na chadomo sasa
wewe ndiyo mvivu wa kufikiri kwa sababu hujui kama mojawapo ya kazi za bunge ni kupata majibu ya serikali kutoka kwenye report ya CAG hii ikiwa ni pamoja na kutoa majibu kwa maswala yaliyojitokeza wakati wa ukaguzi wa mahesabu ya serikali.acha kuwa mvivu wa kufikiri wewe kama majibu angekuwa nayo angewajibu vijana wa CAG na siyo kusubiri bungeni ambapo hakuna lolote bali ni blablah za politik as usual.