KennedyMmari
JF-Expert Member
- Dec 12, 2012
- 979
- 188
ni bora kuhangaika na mengine kuliko kupoteza muda kumchafua mtu asiyechafulika
Jmn........hadi Mr MAKUFULI!!!!?
Mkuu sijaona cha maana ulichoandika,unasema kashifa nzito iko wapi sasa kashifa nzito halafu hotuba ya upinzani mbona yoete ya uongo.
huu ni uzushi, hakuna ukweli wowote hapo...hizi ni takwimu za kupakana matope na hazitafanikiwa
Hivi nyie watu mlifikiri ni wizara ipi nyingine ambayo unaweza kuchomoa mapesa kiulaini kama hiyo ya makufuli? ukichakachua km kumi tu una bilioni nane sasa hebu bana tu upana wa barabara kwa mita moja mara mamilioni ya kilometa kama hujaibuka na trilions; tatizo lenu usingizi sanaHata hivyo mimi huwa sina imani na Magufuli,naona ni mpiga kelele tu,na siku hiz kaharibika zaidi,ni mpigaji tu nae.
Threads zenye figures kwa Buku Saba FC ni tatizo, ungeleta umbea hapa pangechimbika
Hamjitambuwi subirini atakapoanza kujibu hy hoja ya upinzani mtagundua kumbe cdm huwa wanatengeneza uongo na kibaya zaidi ni hy fursa ya kusema aibu inawakuta leo mtashangaa na hao wanaowamegea hz data kwa ghalama kubwa
sure mkuu. kuna watu wanajaribu kumchafua kwa vile inasemekana akawa mgombea urais wa 2015. makandarasi wanamkoma