...malipo ya madeni ya mwaka wa nyuma yaliyolipwa kwa fedha za 2011/2012 kwa kutumia jina la mradi usiohalisi hs.252,975,000,000.
Miradi katika wizara ilipewa namba 4168 kwa ajili ya kupitisha malipo ya madeni ya miaka ya nyuma kwa miradi inayotekelezwa na TANROADS. Namba hii sio halisi (chanzo: taarifa ya CAG uk.160,fungu 98)
Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums.
halima mdee amesema wazi bungeni kuwa chadema wanamkubali sana magufuli na mwakyembe
Hebu ngoja kwanza bajeti ijadiliwe mpaka mwisho halafu ukweli utapatikana tu.
Mkuu.
Acha kuweweseka! Hizo data zimetoka kwenye makarabrasha ya CAG mteule wa Magogoni. Walichofanya kambi rasmi ya upinzani bungeni ni kulinganisha data na kile pesa ilichoombewa kama zimefanya kazi iliyokusudiwa. Kazi haijafanika na CAG ameona ubadhirifu, una lalamikwa nini?! Tulia sindano iingie.
Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums.
mtahangaika sana kumchafua pombe lakini itawamwagikia tu na mtanuka wenyewe
Vote 98: Ministry of Works
Payment made through dummy project worth Shs.252,975,000,000
The Ministry paid a sum of Shs.252,975,000,000 through unspecified project with dummy code No.4168. It was alleged that this amount was used to pay previous years
contractual liabilities for projects which were implemented by TANROADS. However, we were not provided with a detailed analysis of these liabilities. In addition, the amount paid was not disclosed as a previous years liability in the financial statements.
Ina maana Magufuli hakuwa na majibu kwa Vijana wa CAG, ila hapa bungeni atapata majibu maana kule kwa CAG hakuna siasa ila bungeni ni mahala pake
Huyu jamaa nilimshuhudia kwa macho yangu akichukua kipisi cha Nondo anaikagua barabara kwakuigongagonga, na hakuridhika na kumwambia Mkandarasi aliyeijenga barabara hiyo anampa miezi 6 awe ameibomoa na kuirudia upya na kua na kiwango kinachoridhisha ama sivyo anamtimua na hela arudishe!
Chezea John Pombe weyee!
huu ni uzushi, hakuna ukweli wowote hapo...hizi ni takwimu za kupakana matope na hazitafanikiwa
Kwahiyo unapendekeza tuwe na viongozi wezi kama kina Chenge sio?Kwahiyo akifanya hivyo ndio anakuwa MUADILIFU ? Tanzania tuna hali mbaya sanaa ya kuamka kifikra...
Kwani mbona hata Lowassa kule Same mjini alishamfukuza Mkurugenzi wa halmashauri jukwaani kwa kosa la kutopeleka chakula cha msaada kwa wakati !
Kwani hizo staili za kufanya kazi ndio zinakufanya umuone mtu MUADILIFU ???
huu ni uzushi, hakuna ukweli wowote hapo...hizi ni takwimu za kupakana matope na hazitafanikiwa
Mohamedi Mtoi,Mkuu mohamedi Mtoi tupatie hotuba hiyo nasi tuisome
Threads zenye figures kwa Buku Saba FC ni tatizo, ungeleta umbea hapa pangechimbika
Mohamedi Mtoi,
siku hizi ameanza kuwa kama mpare,
Anatoa taarifa nusu nusu bila kutoa taarifa kamili.
Mgosi hebu funguka tukuelewe
Huyu jamaa nilimshuhudia kwa macho yangu akichukua kipisi cha Nondo anaikagua barabara kwakuigongagonga, na hakuridhika na kumwambia Mkandarasi aliyeijenga barabara hiyo anampa miezi 6 awe ameibomoa na kuirudia upya na kua na kiwango kinachoridhisha ama sivyo anamtimua na hela arudishe!
Chezea John Pombe weyee!