Magufuli akacha Mahojiano ya BBC

Mbona ni obvious Jana walisema BBC kwamba Leo mh. Magufuli atakuwa in air hata mm nmeshangaa kuona hajahojiwa

we wee,its obvious wapi bwana,hakuna tangazo hata moja lilisema anahojiwa magufuli,wangetangaza kama walivotangaza kuhojiwa kwa lowassa....
 
sababu kubwa ni kwamba BBC hakuna sehemu ya kupigia push_ups
 
Jana kasema dar hanywi maji mpaka wanapata kipindupindu. Nilishindwa kumuelewe na kuhis urais term hii tumeibiwa
 

mumetoka kapa LOWASSA jana alibaki kulia lia tu anaonewa
 
******** hajawahi kufanya interview ya maana yoyote. Ndio maana amekimbia kama alivyo kimbia mdahalo.
 
Kuna Jamaa Moja linalelewa na shemeji yake Lipo UK linauza magari mabovu lilipost Facebook kwamba makomeo atakuwa BBC sasa sijui litajiteteaje leo.
 
Kwa kweli Magufuli ni mweupe kwenye kiingereza. Hawezi kuzungumza kiingereza mfululizo dakika kumi. Mimi niliwahi kuhudhuria naye kwenye kikao cha UN HABITAT Vancouver Canada 2005 alipokuwa Waziri wa Ardhi. Alishindwa kuongoza ka group to kadogo ka discussion kwa kiingereza. Watanzania jitayarisheni kupata AIBU kama akiwa Rais.
 
For me it is simple and cria. Thank you very much. Here job only...
 
Wacheni habari za magufuli tukumhushane tarehe 25 kwenda kuwamwaga hawa jamaa wa sisiemu kwa kishindo yani kumuua nyani huku unakuangalia usoni
 
aliogopa kuulizwa auelezee mgogoro wa Syria maana anaufahamu kinyumenyume..
kingine anachoogopa ni kuulizwa Sadam Hoseni alikua rais wa nchi gani ? 😀
 

Attachments

  • 1445541140553.jpg
    92.6 KB · Views: 851
Itakuwa Intelejensia ya KOVA ilibaini anakwenda kuuumbuka, ikabidi aingie mitini!
 
Bora Magufuli ambaye hajahojiwa kuliko mzee wenu aliyesema atakwenda kuchunga ng'ombe akishindwa uchaguzi!!! Akumbuke hatutaki akachunge ng'ombe, sie tunamtaka ashike nafasi ya katibu mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…