Magufuli Afunga kazi Sumbawanga Mjini

Magufuli Afunga kazi Sumbawanga Mjini

CCM hawana tena sera zaidi ya kutukana tu,hadi wazee wao wanatukana tu hovyo. OCTOBER TUTAMPA KURA LOWASA NA WAGOMBEA WA UKAWA. Hatudang'anywi tena na ahadi za uongo za CCM.
Sera yenu ya kugezea hata kwenda Sokoni, wapi na wapi. Nyie subirini kuzikwa 25 October mpaka Kiyama.
 
ccm kazi tu, hawanaga mda wa sanaa, sanaa wanamwachia mwenye degree ya maigizo lowasa
 
Kama ni hivyo mbona unaonekana kukereka na Ukaskazini wa kina Lowassa, Mbowe, Sumaye, Mbatia na wengineo ila hukereki na Ukaskazini wa kina Jumanne Maghembe, Mke wa Mkapa, Mke wa Salmini, Mume wa Zakhia Meghiji, Anne Kilango, Felix Mrema, Ole sendeka?
I am not, it is you who is perplexed and flabbergasted after comprehending that Lowassa will never be a president of Tanzania.
 
ccm kazi tu, hawanaga mda wa sanaa, sanaa wanamwachia mwenye degree ya maigizo lowasa
Kwani Maigizo siyo kazi. Mbona CCM iliwatumia kina Masanja Mkandamizaji, Mpoki na Joti kwenye Kampeni zao? Au maana ya Kazi ukiwa CCM inabadilika?
 
Kwani Maigizo siyo kazi. Mbona CCM iliwatumia kina Masanja Mkandamizaji, Mpoki na Joti kwenye Kampeni zao? Au maana ya Kazi ukiwa CCM inabadilika?
Ndio kazi yake na sio Urais.

11923619_1639202246348808_6795935826870281056_n.jpg
 
I am not, it is you who is perplexed and flabbergasted after comprehending that Lowassa will never be a president of Tanzania.
Mimi sijachanganyikiwa wala sijastushwa na kitu. Hata sasa Lowassa si Rais na maisha yangu yana songa mbele. Turudi kwenye hoja,CCM haizitaki kura za watu wa Kaskazini?
 
Haya MAFURIKO huwezi linganisha na dala dala la Gongolamboto. Mwambie Lowassa ataisoma namba.

Gongolamboto we ndooorooobo haikuwa kampeni bhana. Tofautisha kampen na ziara ya kushtukiza, lakini bado alijaza watu kuliko hao walioandaliwa wenye rangi za kijani. Akili ya kawaida itakuonyesha kuwa hao watu wenu waliandaliwa kwa nini wawe na sare 99%? Wapenda mabadiliko wameamua no matter uwahadae vipi hawadanganyiki!
Wadau wengi wanaongelea kumkubali Dr Magufuli ila KATU hawakubaliani na MFUMO unaomzunguka na hapo ndipo shida ilipo. Mutapata hao wa nguo za kijani ambao ni kama wameandaliwa!

Mleta picha nakupa Challenge, tuletee picha za mh. Magufuli akipata washabiki ambao siyo makada, otherwise kwa makada kujaa mkutanoni ni jambo linalotarajiwa!
 
kero ya mtoa post ni mapicha yake yaaaan n meng had kero.
kama wananchi wamewakataa kuweni wapole sio kutujazia matakataka ya picha za ajabu ajbu.
 
Hahaha...Ama kweli Hatutampa kura Mgombea wa CCM kwani hawana tena sera za kutusaidia,ni matusi tu na dharau kwa Wananchi. KURA TUTAMPA LOWASA NA WAGOMBEA WA UKAWA.
 
Ni kweli watu walijaa sana uwanjani kwa maana mbili.
1. CCM waliwahadaa wakazi wa Sumbawanga mjini kuwa kutakuwa na wasanii kibao akiwemo na Diamond kwa wengi walienda kwa kuwaona wasanii na kuburudika.

2. CCM walifanyakazi ya kusomba watu siku nzima kwenye magari na hasa wnachama wake toka vijijini na kuwaleta hapa mjini.

Hivyo uwingi huu ulitokana na hali hiyo. Hawa jamaa wa ccm wanatumia fedha sana kusomba watu wengi namna ilivyofabyika inahitaji maelezo ya ziada.

Na kitiko kilichotokea ni kwamba alivyopewa mike Aeshy mgombea ubunge ili aweze kuongea watu wakaanza kutawanyika


Bado nafanya utafiti kwa nini.
i
Huu uwingi usiwatishe hapa mjini upinzani uko imara sana na mbunge wa ccm atahitaji kufanya kazi ya ziada na pengine kupoteza kabisa hili jimbo.
 
Kazi ninayo ifanya inanipa fursa ya kukutana na watu tofauti zaidi ya 15 kila siku......kutaka kujua imani ya watu kwa ccm basi wakija nawaambia ccm oyeee....ooooh.... Msiombe nyie mnao lia lia apa uku moyoni mkioza kwa maumivu.. Ccm amkubaliki... Mara nyingine wanatamani kunipiga.

Sasa nyie jipeni matumaini apa na picha zenu za kuchanganya mkijifariji kua mna nyomi. Mitaani mmesha zikwa na kusaaulika kabisa.
 
kero ya mtoa post ni mapicha yake yaaaan n meng had kero.
kama wananchi wamewakataa kuweni wapole sio kutujazia matakataka ya picha za ajabu ajbu.

Baba yao juzi alisema magazeti yanatumia picha za matukio ya zamani kuweka kwenye magazeti alafu wanadanganya kua ukawa wana watu.. Kumbe ndo system yao wana tuchanganyia apa wasingizie ni ya siku moja...........
 
Huko rukwa, songea, tabora, tanga, dodoma, singida, iringa, , Shinyanga, kagera, mtwara, lindi, Morogoro, pwani huko ni ccm watupu wala wapinzani tusijudanganye muhim Tujipange natupambane otherwise wataendelea kutawala
 
Acha kujidanganya. Nyie wapinzani huu ni muda muafaka wa kukusanya nguvu zenu zote na kukabiliana na chama tawala kimikakati, badala ya kuendeleza kebehi zisizo na tija. La sivyo mwisho wa siku mtabaki kugalagala, kulia na kusaga meno.
Wamepanic tayari..........Kikwete alisema picha zao za kuunga unga na kutengeneza kwenye computer hawakumuelewa mzee wa watu.
 
Back
Top Bottom