Magufuli Afunga kazi Sumbawanga Mjini

Magufuli Afunga kazi Sumbawanga Mjini

Nabado watajiju majinga hayo
kwani sio watanzania wa kaskazini na watajiju kwa lipi hata kama wakisimamisha wabunge wote wachagga kura tutawapa tu sababu akili zetu zinafanya kazi.

mmesahau kumweka na duni, maalim, mwalimu, seif sababu nao ni vigogo ukawa na ni wachagga wa kibosho.
 
Pole sana na UKABILA WENU.
 
Magufuli anachekesha kweli anatoa ahadi kama mpinzani elihali Chama chake ndyo kinafanya hayo maovu, chama chake miaka 54 kipo madaraka kimeshindwa yeye ataweza ..
 
Magufuli anachekesha kweli anatoa ahadi kama mpinzani elihali Chama chake ndyo kinafanya hayo maovu, chama chake miaka 54 kipo madaraka kimeshindwa yeye ataweza ..
Wewe ndio unachekeza na siasa za mwaka wa 40. Jamaa kawashika pabaya nyie hamna hata ilani. Maneno matupu.

Mwache jamaa aingie Ikuru ndio mtaitambua Namba. Na bado.
 
Magufuli style achana nayo kabisa, Katimba kijiji kwa kijiji tutamuona fisadi papa na sindano zake za masaa kama ataweza kutimba kijiji kwa kijiji. anaenda na V8 mpaka gongo la mboto na waandishi wa habari kawalipa posho harafu anatuzuga eti kastukiza kaenda kupanda daladala kumbe lile lilikua daladala la demo
 
Kauli za MAKAMANDA WA KASKAZINI
 
Attachments

  • 1440526359563.jpg
    1440526359563.jpg
    70.6 KB · Views: 4,834
Magufuli style achana nayo kabisa, Katimba kijiji kwa kijiji tutamuona fisadi papa na sindano zake za masaa kama ataweza kutimba kijiji kwa kijiji. anaenda na V8 mpaka gongo la mboto na waandishi wa habari kawalipa posho harafu anatuzuga eti kastukiza kaenda kupanda daladala kumbe lile lilikua daladala la demo
Fisadi hawe. Hata alipo kuwa anatembea pale Sokoni, alikuwa anasua sua. Hana ubavu wa Magufuri kupanada Ngazi na kurudisha fomu.
 
Teh teh UKAWA mnataka ccm tufe na presure?eti magufuli ni yohana kaenda kusafisha mapito ya lowasa au ni kweli tumemtanguliza na baiskeli ya mbao?tuacheni tupumue kidogo jamani mtatuua
 
Haya MAFURIKO huwezi linganisha na dala dala la Gongolamboto. Mwambie Lowassa ataisoma namba.
Subiri raisi mtarajiwa apite hapo swanga ndo utajua hivi ni vifuriko au kamkusanyiko ka watu
 
Siipendi ccm ila Lowassa simpi kura yangu
 
  • Thanks
Reactions: nao
Bado naishangaa CCM, mbona wanajilinganisha na UKAWA. kwani kila wanachofanya lazima wajilinganishe na UKAWA, CCM ina umri wa zaidi ya miaka 40 wapinzani wapo kwenye 20 na kiduchu lkn CCM wakijaza watu kidogo wanapayuka hataro, je hawakuwa na matumaini kuwa watakuwa wanapata watu kwenye mikutano yao au ndio kutojiamini na kutaka kuaminisha watu kuwa bado wanapendwa?
Ccm Nyie ni chama tawala, muna nyenzo zote, polisi, mali za serikali na munazitumia kichama, bado munajilinganisha na wenzenu hata wakipanda daladala munawakataza.
 
Magufuli akusanya watu kutoka mtowisa,kankwale,matai,kaengesa,laela,namanyere,Rais wetu ni Lowassa!
 
Back
Top Bottom