Magufuli Afunga kazi Sumbawanga Mjini

Magufuli Afunga kazi Sumbawanga Mjini

Wewe ndiye unipe hizo Facts. Kama watu wa Kaskazini ni watu wabaya ni kwa nini CCM nayo imeweka watu wa kugombea huko huko Kaskazini?
I gave you vivid facts. Where are your facts? Nothing but whining
 
I gave you vivid facts. Where are your facts? Nothing but whining
Hoja yangu imeanzia Pale wewe uliposema "Ndege wenye Rangi zinazofanana huruka pamoja" na kukoleza na ukaskazini. Kisha nikakuuliza huko Sumbawanga hakuna wa Kaskazini, tena nikataka kujua kama CCM haizitaki kura za watu wa Kaskazini na pia kama watu wa Kaskazini ni wabaya ni kwa nini CCM nayo imeweka Wagombea huko huko Kaskazini kwenye watu wasiotakiwa.

Hivi kwenye majibu yako kuna hicho kitu unachokiita "Vivid Facts" au uliishia kunibandikia picha za mikutano ya Magufuli na Samia? Hivi Mtu akisema kuwa CCM ni chama cha Waislamu kwa kuwa tu kwenye Kamati Kuu na Halmashauri kuu wajumbe wake Asilimia Kubwa ni Waislamu atakuwa amewatendea haki kweli CCM?
 
The Northen of Sumbawanga is contrasting the Northern of Tanzania. It is a fact. By the way, MAMA anasomba malundo Moshi as we speak.

MGOMBEA MWENZA WA URAIS KWA TIKETI YA CCM, MAMA SAMIA AITEKA MOSHI MJINI, MAELFU WAHUDHURIA MKUTANO WAKE WA KAMPENI

​
Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM Mama Samia Suluhu akihutubia maelfu ya wananchi kwenye mkutano wake wa kampeni aliofanya kwenye Viwanja vya CCM Majengo, jimbo la Moshi mjini mkoani Kilimanjaro, leo.
​
Wananachi wakimpongeza mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassani baada ya kuhutubia mkutano wa kampeni kwenye viwanja vya CCM Majengo jimbo la Moshi mjini Mkoani Kilimanjaro leo.
​
Wananchi wakishangilia kwa furaha wakati mgombea mwenza kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassani, alipohutubia mkutano wa kampeni kwenye viwanja vya CCM Majengo, jimbo la Moshi Mjini mkoani Kilimanjaro leo.
​
Mwananchi akishangilia kwa nguvu zake zote, mgombea mwenza kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassani, alipohutubia mkutano wa kampeni kwenye viwanja vya CCM Majengo, jimbo la Moshi Mjini mkoani Kilimanjaro leo.
​
Sehemu ya umati wa wananchi waliohudhuria mkutano huo wa kampeni
​
Wananchi wakijimwayamwaya Uwanjani wakati wa mkutano huo
​
Wananchi wenye mkutano huo wakinyoosha mikono kuahidi kuwachagua wagombea wa CCM, katika uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba mwaka huu, tangu mgombea wa Urais, Dk John Magufuli, Wabunge na madiwani

​
Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akishiriki kucheza ngoma, wakati kikundi cha kina mama kutoka Moshi Mjini kilipotumbuiza wakati wa mkutano huo
​
Mgombea Mwenza wa urais kwa tiketi ya CM, Mama Samia Suluhu akiwafurahia wananchi waliokuwa wakiselebuka mbele yake kwa furaha wakati wa mkutano huo.
​
Vijana wakitoa burudani wakati wa mkutano huo
​
Mgombea wa Urais kwa tiketi ya CCM akimshukuru Mzee, Omari Mwariko (65) , baada ya mzee huyo kumkabidhi zawadi ya picha za Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere na Mzee Kawawa , wakati wa mkutano huo
​
Mgombea mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia, akizitazama vema picha alizokabidhiwa na mchoraji huyo, Mzee, Mwariko
​
Kamanda wa Umoja wa Vijana, Kinondoni Dar es Salaam, Angela Kairuki, akishauriana jambo na Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia, wakati wa mkutano huo wa kampeni
​
Mgombea Ubunge jimbo la Moshi Mjini kwa tiketi ya CCM, Devis Mosha akimwaga sera wakati wa mkutano huo
​
Mama Samia, akimpongeza Devis Mosha kwa hotuba nzuri
​
Mbunge wa kuteuliwa, mkoa wa Tanga, Ummy Mwalimu, akiwaombea kura wagombea wa CCM, Dk. John Magufuli kwa upande wa Urais na wabunge na madiwani, wakati wa mkutano huo.
​
Aliyekuwa mgombea Ubunge jimbo la Nkenge, mkoani Kagera, Asupta Mshanga, akiwaasa wananchi kuacha kuhama vyama baada ya kukosa nafasi za uongozi wanazoomba, alipohutubia mkutano huo, akisema " Mbona mimi licha ya kuwa ni mwanamke, baada ya kukosa nafasi ya kugombea ubunge kutokana na kura kutotosha nimetulia ndani ya Chama changu? Lakini wanaume wazima tena wengine wazee, wamekosa nafasi eti wanahama!"
​
Mbunge wa Afrika Mashariki Angela Kizigha akizungumza, kumkaribisha mgombea Mwenza, Mama Samia kuzungumza, wakati wa mkutano huo. Katikati ni Katibu Mkuu wa UWT Amina makilagi
​
Mgombea mwenza kwa tiketi ya CCM, Mama Samia akiwanadi wagombea wa Ubunge, Davis Mosha (Moshi Mjini), Innocent Meleck (Vunjo) na Dk. Siril Chami (Moshi Vijijini) wakati wa mkutano huo.
​
Wadau wakifuatilia hali ya mambo wakati wa mkutano huo. (Picha zote na Bashir Nkoromo,
 
Mbona alichotumia magufuli (uwanja wa nelson mandela-sumbawanga) pia ni kiwanja cha mpira, lakini magufuli ameruhusiwa kufanyia hapo kampeni? Kiwanja hicho kina ubora gani kushinda uwanja wa taifa ambao "hauna mazingira mazuri ya kufanya shughuli za siasa" hivyo ukawa wakazuiwa kuutumia?
 
Mbona hicho pia ni kiwanja cha mpira, lakini magufuli ameruhusiwa kufanyia hapo kampeni? Kiwanja hicho kina ubora gani kushinda uwanja wa taifa ambao "hauna mazingira mazuri ya kufanya shughuli za siasa" hivyo ukawa wakazuiwa kuutumia?
Hata Jangwani wanachezaga Mpira. FYI.

Mtalia sana mwaka huu. Msiba wenyewe ni 25 October.
 
attachment.php
 
Kwa hivyo watu wa Kaskazini Mr Chin hawana tatizo kuwa viongozi wa taifa hili??
 
Last edited by a moderator:
Mbona hicho pia ni kiwanja cha mpira, lakini magufuli ameruhusiwa kufanyia hapo kampeni? Kiwanja hicho kina ubora gani kushinda uwanja wa taifa ambao "hauna mazingira mazuri ya kufanya shughuli za siasa" hivyo ukawa wakazuiwa kuutumia?
 
Mbona hicho pia ni kiwanja cha mpira, lakini magufuli ameruhusiwa kufanyia hapo kampeni? Kiwanja hicho kina ubora gani kushinda uwanja wa taifa ambao "hauna mazingira mazuri ya kufanya shughuli za siasa" hivyo ukawa wakazuiwa kuutumia?
Hata Jangwani ni Uwanja wa Mpira.

Nyie mtalia sana mwaka huu. Msiba wenyewe upo 25 October. Hapo sasa
 
Subiri ana kuja mzee wa Kazi Lowassa kote huko alikopita Magufuli hata harufu ya pombe haitasikika.
 
Mbona mlisha kuwa na Mawaziri wakuu. Kwani hao hawakuwa Viongozi?
Kama ni hivyo mbona unaonekana kukereka na Ukaskazini wa kina Lowassa, Mbowe, Sumaye, Mbatia na wengineo ila hukereki na Ukaskazini wa kina Jumanne Maghembe, Mke wa Mkapa, Mke wa Salmini, Mume wa Zakhia Meghiji, Anne Kilango, Felix Mrema, Ole sendeka?
 
Haya na hivyo vimafuriko vyenu,angalieni mziki huo mjini Sumbawanga leo.
 
Attachments

  • 1440531209672.jpg
    1440531209672.jpg
    80.2 KB · Views: 806
CCM hawana tena sera zaidi ya kutukana tu,hadi wazee wao wanatukana tu hovyo. OCTOBER TUTAMPA KURA LOWASA NA WAGOMBEA WA UKAWA. Hatudang'anywi tena na ahadi za uongo za CCM.
 
Haya na hivyo vimafuriko vyenu,angalieni mziki huo mjini Sumbawanga leo.

Magufuli kawawela ukawa on their toes, anawaumiza vichwa wawe creative, alivyofunika jangwani mzee lowassa imebidi afanye kitu ambacho hajakifanya kwa miaka mingi, yaani kupanda daladala na kutembelea mama lishe, sasa Magufuli kapiga nyomi nyingine, inabidi wakajipange tena!!
Playing catch up is really affecting ukawa, kama vipi wapige counter attack sisiemu wawe reactive! Maana sasa hivi nionacho, ukawa wanacheza mziki unaopigwa na sisiemu na sisiemu wanaubadili badili ila ukawa hawana jinsi inabidi nao wabadili staili ya kucheza kutokana na kubadilika kwa beats.
 
Ukawa hawana mbingu za uchaguzi. Mamboa yamesha anza wao bado wapo Dar walilia Uwanja wa Mpira. Mwaka huu wasilalamike kuwa wameibiwa, maana Magufuri yeye anaenda kijiji kwa kijiji. Hapo sasa. Wao ukawa woote wamebakia Dar.
 
Back
Top Bottom