Magufuli Afunga kazi Sumbawanga Mjini

Magufuli Afunga kazi Sumbawanga Mjini

kwani sio watanzania wa kaskazini na watajiju kwa lipi hata kama wakisimamisha wabunge wote wachagga kura tutawapa tu sababu akili zetu zinafanya kazi.

mmesahau kumweka na duni, maalim, mwalimu, seif sababu nao ni vigogo ukawa na ni wachagga wa kibosho.

lowasa kura yangu anayo. ccm iondoke kwanza..
 
Unaweweseka sana.

11707813_870798202988014_5076396691344570782_n.jpg
Nimekuambia ueleze ulichoakiandika... hujaelewa wewe mwenyewe... ni Upumbavu
 
ukawa huwa mnashangaza sana. yaani maneno mkisema nyie mnataka msihesabiwe kama mmetukana lakini wengine sasa. mmhhh kweli mkuki kwa nguruwe. jumapili yale maneno mawili yaliwafanya mg'ake kweli, sasa na hili la kumkejeli mgombea wa ccm kwamba pombe mwisho bar litafsiriwaje labda
 
yaan sa hv ni lowasa vs ccm chadema/ukawa hawasikiki tena, lowasa kanunua chadema yani siyo siri tena
 
Nimekuambia ueleze ulichoakiandika... hujaelewa wewe mwenyewe... ni Upumbavu
Sina muda na Malofa. Wewe nenda Tandale alipo jamaa yako.


"Naamini Tanzania chini ya mikono ya Mhe. John Pombe Magufuli ipo salama." - Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete.
11919121_799105553540771_2198473501774279515_n.png
 
Mr Chin Nimeishi kwenye vijiji vingi sana, hii ni kambi ya wakimbizi au ni kijiji cha kawaida. Hoja yangu bado inasimama. Watu wa Kaskazini CCM haiwahitaji?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom