Magufuli Afunga kazi Sumbawanga Mjini

Magufuli Afunga kazi Sumbawanga Mjini

​
Mgombea wa Urais kwa tiketi ya CCM Dk. John Pombe Magufuli akiwasili kwenye uwanja wa Nelson Mandela ,Sumbawanga mjini tayari kuwahutubia wakazi wa mji huo.
​
Mgombea wa Urais kwa tiketi ya CCM Dk. John Pombe Magufuli akisalimiana na Kada wa CCM Mzee Chrisant Mzindakaya wakati wa mapokezi kwenye uwanja wa Nelson Mandela ,Sumbawanga mjini.
​
Mgombea wa Urais kwa tiketi ya CCM Dk. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mbunge wa Sumbawanga mjini Ndugu Aeshi Hilaly .
​
Kada wa CCM Mzee Chrisant Mzindakaya akiwahutubia wakazi wa Sumbawanga mjini kwenye mkutano wa kampeni za kumnadi Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk.John Pombe Magufuli kwenye uwanja wa Nelson Mandela.

​
Umati wa wakazi wa Sumbawanga mjini wakimsikiliza Waziri Mkuu wa Tanzania Mhe. Mizengo Pinda kwenye mkutano wa hadhara wa kampeni za CCM ambapo mgombea wa urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli.
​
Waziri Mkuu wa Tanzania Mhe. Mizengo Pinda akimtambulisha mgombea wa CCM Dk. John Pombe Magufuli kwa wakazi wa Sumbawanga mjini kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika kwenye uwanja wa Nelson Mandela mjini hapo.
​
Mgombea wa Urais kwa tiketi ya CCM Dk. John Pombe Magufuli akihutubia umati wa wakazi wa Sumbawanga mjini kwenye mkutano wa kampeni ambapo aliwaambia wananchi hao kuwa atawatumikia kwa nguvu zake zote, na hatokuwa na simile na watendaji wazembe.
​
Mbunge wa Sumbawanga mjini Ndugu Aeshi Hilaly akihutubia wakazi wa Sumbawanga mjini waliojitokeza kwa wingi kwenye uwanja wa Nelson Mandela ambapo CCM ilikuwa ikifanya mkutano mkubwa wa kunadi sera na mikakati yake kwa wananchi.
​
Mgombea wa Urais kwa tiketi ya CCM Dk. John Pombe Magufuli akiwaaga wananchi waliojitokeza kwa wingi kwenye uwanja wa Nelson Mandela.
​
Mgombea wa Urais kwa tiketi ya CCM Dk. John Pombe Magufuli akiwaonyesha ishara ya ushindi wananchi waliojitokeza kwa wingi kwenye uwanja wa Nelson Mandela.

Kwa wingi huu wa watu mzee lazima aamkie soko la Samaki ferry!kufijunza kero za kuparua samaki, na kuchoma samaki kwa kuni pembezoni mwa ikulu.
 
Ni kazi tu mpaka kieleweke

11903909_891203147583094_8998377637147888780_n.jpg
 
Huko rukwa, songea, tabora, tanga, dodoma, singida, iringa, , Shinyanga, kagera, mtwara, lindi, Morogoro, pwani huko ni ccm watupu wala wapinzani tusijudanganye muhim Tujipange natupambane otherwise wataendelea kutawala
Afwazali wewe umesema.
 
uwanja wa Nelson haukujaa, hatari!!!, mmelenga kamera kwenye majukwaa yaliyombele ya jukwaa kuu kwa sababu ndio yalikuwa na watu, majukwaa ya pembeni yote holaaa!! tizameni picha za kampeni 2005 jinsi tulivyojazanaga pale Nelson Mandela halafu mlinganishe na picha za kampeni za 2010 pia, uwanja ulijaa, safari hii mh...kuna tatizo ccm
 
Hao watu wamesombwa na malori,, LOWASA NDIO RAIS AJAE WA TANZANIA.. CCM WATANZANIA WAMEICHOKA

Lowassa atabaki kuwa Rais wa moyoni wa vibaraka wa mafisadi.Hicho tutamuachia wakati akisubiriwa kwenye mahakama maalum ya mafisadi
 
uwanja wa Nelson haukujaa, hatari!!!, mmelenga kamera kwenye majukwaa yaliyombele ya jukwaa kuu kwa sababu ndio yalikuwa na watu, majukwaa ya pembeni yote holaaa!! tizameni picha za kampeni 2005 jinsi tulivyojazanaga pale Nelson Mandela halafu mlinganishe na picha za kampeni za 2010 pia, uwanja ulijaa, safari hii mh...kuna tatizo ccm

Mtasema sana mwaka huu.
 
Haya MAFURIKO huwezi linganisha na dala dala la Gongolamboto. Mwambie Lowassa ataisoma namba.

MAFURIKO ni neno la lowassa msidandie sema labda gharika,tsunami etc MAFURIKO yako ukawa subiri utayaona.
 
Lowassa atabaki kuwa Rais wa moyoni wa vibaraka wa mafisadi.Hicho tutamuachia wakati akisubiriwa kwenye mahakama maalum ya mafisadi

Mahakama kitu gani huo ni ulaghai tu! TAKUKURU si wapo wamkamate hata ahojiwe basi mna mbwembwe nyie CCM INALEA IMPUNITY.
 
​
Mgombea wa Urais kwa tiketi ya CCM Dk. John Pombe Magufuli akiwasili kwenye uwanja wa Nelson Mandela ,Sumbawanga mjini tayari kuwahutubia wakazi wa mji huo.
​
Mgombea wa Urais kwa tiketi ya CCM Dk. John Pombe Magufuli akisalimiana na Kada wa CCM Mzee Chrisant Mzindakaya wakati wa mapokezi kwenye uwanja wa Nelson Mandela ,Sumbawanga mjini.
​
Mgombea wa Urais kwa tiketi ya CCM Dk. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mbunge wa Sumbawanga mjini Ndugu Aeshi Hilaly .
​
Kada wa CCM Mzee Chrisant Mzindakaya akiwahutubia wakazi wa Sumbawanga mjini kwenye mkutano wa kampeni za kumnadi Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk.John Pombe Magufuli kwenye uwanja wa Nelson Mandela.

​
Umati wa wakazi wa Sumbawanga mjini wakimsikiliza Waziri Mkuu wa Tanzania Mhe. Mizengo Pinda kwenye mkutano wa hadhara wa kampeni za CCM ambapo mgombea wa urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli.
​
Waziri Mkuu wa Tanzania Mhe. Mizengo Pinda akimtambulisha mgombea wa CCM Dk. John Pombe Magufuli kwa wakazi wa Sumbawanga mjini kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika kwenye uwanja wa Nelson Mandela mjini hapo.
​
Mgombea wa Urais kwa tiketi ya CCM Dk. John Pombe Magufuli akihutubia umati wa wakazi wa Sumbawanga mjini kwenye mkutano wa kampeni ambapo aliwaambia wananchi hao kuwa atawatumikia kwa nguvu zake zote, na hatokuwa na simile na watendaji wazembe.
​
Mbunge wa Sumbawanga mjini Ndugu Aeshi Hilaly akihutubia wakazi wa Sumbawanga mjini waliojitokeza kwa wingi kwenye uwanja wa Nelson Mandela ambapo CCM ilikuwa ikifanya mkutano mkubwa wa kunadi sera na mikakati yake kwa wananchi.
​
Mgombea wa Urais kwa tiketi ya CCM Dk. John Pombe Magufuli akiwaaga wananchi waliojitokeza kwa wingi kwenye uwanja wa Nelson Mandela.
​
Mgombea wa Urais kwa tiketi ya CCM Dk. John Pombe Magufuli akiwaonyesha ishara ya ushindi wananchi waliojitokeza kwa wingi kwenye uwanja wa Nelson Mandela.

​
Mgombea wa Urais kwa tiketi ya CCM Dk. John Pombe Magufuli akiwaaga wananchi waliojitokeza kwa wingi kwenye uwanja wa Nelson Mandela.

Kwahiyo mleta mada unataka kutuambia kwamba Magufuli ndani ya uwanja huo Nelson Mandela aliingia kwa gari nyeusi namba T546BWS na kutoka kwa gari ingine T979BHS ya kijana? Sio kila aliyepo hapa JF ni mpumbavu kama wewe.
 
​
Mgombea wa Urais kwa tiketi ya CCM Dk. John Pombe Magufuli akiwasili kwenye uwanja wa Nelson Mandela ,Sumbawanga mjini tayari kuwahutubia wakazi wa mji huo.
​
Mgombea wa Urais kwa tiketi ya CCM Dk. John Pombe Magufuli akisalimiana na Kada wa CCM Mzee Chrisant Mzindakaya wakati wa mapokezi kwenye uwanja wa Nelson Mandela ,Sumbawanga mjini.
​
Mgombea wa Urais kwa tiketi ya CCM Dk. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mbunge wa Sumbawanga mjini Ndugu Aeshi Hilaly .
​
Kada wa CCM Mzee Chrisant Mzindakaya akiwahutubia wakazi wa Sumbawanga mjini kwenye mkutano wa kampeni za kumnadi Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk.John Pombe Magufuli kwenye uwanja wa Nelson Mandela.

​
Umati wa wakazi wa Sumbawanga mjini wakimsikiliza Waziri Mkuu wa Tanzania Mhe. Mizengo Pinda kwenye mkutano wa hadhara wa kampeni za CCM ambapo mgombea wa urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli.
​
Waziri Mkuu wa Tanzania Mhe. Mizengo Pinda akimtambulisha mgombea wa CCM Dk. John Pombe Magufuli kwa wakazi wa Sumbawanga mjini kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika kwenye uwanja wa Nelson Mandela mjini hapo.
​
Mgombea wa Urais kwa tiketi ya CCM Dk. John Pombe Magufuli akihutubia umati wa wakazi wa Sumbawanga mjini kwenye mkutano wa kampeni ambapo aliwaambia wananchi hao kuwa atawatumikia kwa nguvu zake zote, na hatokuwa na simile na watendaji wazembe.
​
Mbunge wa Sumbawanga mjini Ndugu Aeshi Hilaly akihutubia wakazi wa Sumbawanga mjini waliojitokeza kwa wingi kwenye uwanja wa Nelson Mandela ambapo CCM ilikuwa ikifanya mkutano mkubwa wa kunadi sera na mikakati yake kwa wananchi.
​
Mgombea wa Urais kwa tiketi ya CCM Dk. John Pombe Magufuli akiwaaga wananchi waliojitokeza kwa wingi kwenye uwanja wa Nelson Mandela.
​
Mgombea wa Urais kwa tiketi ya CCM Dk. John Pombe Magufuli akiwaonyesha ishara ya ushindi wananchi waliojitokeza kwa wingi kwenye uwanja wa Nelson Mandela.

​
Mgombea wa Urais kwa tiketi ya CCM Dk. John Pombe Magufuli akiwaaga wananchi waliojitokeza kwa wingi kwenye uwanja wa Nelson Mandela.

Subirini blue hurricane
 
Back
Top Bottom