Nyamchobela
Member
- Sep 17, 2013
- 61
- 6
Hamna some Pages 5&6
Ugomvi wa wakurya wenyewe ni mara chache sana wakurya na wajaluo kugombana lakini wakurya wenyewe kwa wenyewe kugombana ni jambo la kawaida sana na kanda maalum inawahusu wilaya ya Tarime kule Rorya matukio ni kidogo sana.Kwanini kanda hiyo imewekwa kuwa chini ya uangalizi naalum wa polisi?
Godwin Gondwe kaula. Be blessed brother
Kweli hajui huyo.Inaonyesha hujui double g ni kada wa ccm wa mda ni aligombea Mwanza kura za maoni hakushinda. Hata kuwa mc ni kazi yake ya utangazaji
Ni kweli sikuwa nafahamu hilo kabla,nilipokua nikiumuona kwenye majukwaa CHADEMA nilijua ni memba wao kumbe sio,nashukuru kwa kunifahamisha.Inaonyesha hujui double g ni kada wa ccm wa mda ni aligombea Mwanza kura za maoni hakushinda. Hata kuwa mc ni kazi yake ya utangazaji
huyu Rweye si ndio alikuwa akimwandika sana makufuri kuhusu kuuza nyumba za serikali? imekula kwake. nani kamwambia amtukane mamba kabla ya kuvuka mto?Rweyemamu ilikuwa lazima atemwe, alishawahi kumuandika vibaya mukulu, hadi walituhumiana
WasukumaHongera sana Godwin Gondwe.
Hivi Ndagala huwa lina asili ya watu wa mkoa gani? I mean kabila gani?
Unatafuta chokochoko.Ile dini ya upande wa pili inaisoma namba katika teuzi hizi
Majina ya mitandaoni mmepuuzwa vibaya sana !Safi sana. Safu imetulia hii. Lazima UKAWA waisome namba
But msimseme sana you never know about Magu
Polepole kamfundishe Kubenea jinsi yamkufanya kazi Ubungo
Hahaaaa umeoonaa mpwaaAt last he is done