Magreat Thinkers ninaowafeel...........

Mohamed, we mkali kwa tenzi. Asante sana mkuu. Nakukubali hata katika michango yako. Nafurahia michango yako kwa kitu kimoja tu! Haifungamanishwi na dini kama wengi walivyo. Be blessed.
 
Mohamed, we mkali kwa tenzi. Asante sana mkuu. Nakukubali hata katika michango yako. Nafurahia michango yako kwa kitu kimoja tu! Haifungamanishwi na dini kama wengi walivyo. Be blessed.

Shukran mkuu naelewa hapa tupo watu wa imani tofauti hata waislam wapo wanaojiita sunni, ansar, ibadhi etc na wakristo kuna waroma, sabato.tag etc so ukishaingia huko inakuja kuwa more complicate as mtu asiejua kutofautisha anaweza ku quote maswala ya jamii fulani ya dini yako ambayo si jamii yako mathalan wewe mkristo roman aka quote mambo ya TAG ukimwelewesha haelewi as you know kuna vichwa vya dini humu ndani wanachokiamini wao against wenzao ndio hichohicho. We are here to educate ourselves and i found its very difficult to educate mtu ambae anajua yeye ameelimika kwa alijualo hata kama sio. Shukran za dhati kabisa ziwaendee Hashycool, The Finest, Wiselady, PJ, Klorokwin, Asprin, AD, Michelle, CPU and the team bila kumsahau fest ledi wangu Nilham hawa jamaa wamekuwa ni watu muhimu sana kwangu wananichangamsha na kuona maana ya kuendelea kuwepo hapa jamvini, Senks kwa wote walio nigongea senks hapo juu hii ni imani kuwa wananikubali na wananipenda pia.

Senkyu na wewe pia mkuu tupo pamoja.
 

Dada yangu Nilhamu, Pokea zangu salamu,
Nimeishika kalamu, nikiwa na ufahamu,
Mohamedi ana hamu, uwe wake wa kudumu,
Mpokee Mohamedi, dada yangu Nilham

Debe ninampigia, kwa kuwa ninamjua,
Ushenga nimejigea, siyo namkuwadia,
Hebu weka yako nia, hakika hutojutia
Mpokee Mohamedi, dada yangu Nilham.

Amekuweka moyoni, hana nia chakachua,
Ingia kwake nyumbani, muijenge familia,
Yeye akuite hani, upate kufurahia
Mpokee Mohamedi, dada yangu Nilham

Hutajuta asilani, hilo nakuhakikishia,
Utakuwa furahani, Maisha yalosalia,
Kijana yuko makini, maisha kapangilia
Mpokee Mohamedi, Niliham hutajuta.

Na Big Braza ODM Asprin (Babu wa wajukuu) Kwa hisani ya Mohamed Shossi
Kauta Ya Juu,
KingStar - Boko.
 
Upo juu, hongera sana
 

:clap2::clap2::coffee:karibu gahawa
 
Naona niingie mitini, malenga mumeshinda
langu ni la kilatini, wote litawashinda
Zangu ni shukrani, kwenu mlioshinda
Siwataji hadharani, kwani naona shida
Naenda chumbani, huko ndiko ninakoshinda.
 
Aisee hebu changia kwa ushairi hapa!

Asprin nikueleweje mwenzangu mie na mashairi wapi na wapi , nimekupa kazi babu na MJ1 mnifundishe
Hivi kuna chuo cha kujifunza mashairi?
 

Shukran sana mkuu lakini ungefungua link na ku paste hilo shairi kwenye thread husika ungekuwa umefanya la mbolea sana.

Thanks in advance.
 
Nahic uliomba likizo bila malipo.... nyumbani na Kazini... ukaenda zenji kulitengenea...:clap2:
 
Nahic uliomba likizo bila malipo.... nyumbani na Kazini... ukaenda zenji kulitengenea...:clap2:

Usipende kufikiri nena ya uhakika Usipende kukurupuka ukaja umbuka Utatahayari watu wtakucheka Sijachukua likizo mkuu kazi zilipungua kidogo nikalitengeneza!
 





Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…