magonjwa haya ya mapenzi na weusi pia? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

magonjwa haya ya mapenzi na weusi pia?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by The Boss, Jul 24, 2010.

 1. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #1
  Jul 24, 2010
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,822
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  nimewahi sikia na kusoma through internet kuhusu
  haya magonjwa yanaitwa sexual disoder but sikuwahi sikia kuwa kuna wa africa nao
  siku zote nimeamini ni wazungu ndo wagonjwa
  mfano wa stori hii hapa....


  ANATAKA NIMCHAPE VIBOKO..MIE SIPENDI JAMANI..NIFANYEJE?? Written by Mange Sunday, 18 July 2010 18:47


  Basi Jamani eeh wadau wenzangu wa ... yamenifika!!... sasa mimi nimeolewa miaka mitatu iliyopita, na katika ndoa yangu na hata wakati wa uhusiano wa kuchumbiana mume wangu alikuwa anapenda kunifanyia kila kitu ninachokitaka ... hata kuniandalia maji ya kuoga kama hatuogi wawili unakuta ameshaniandalia maji ya kuoga, yuko tayari kunisugua mgongo, kufua nguo za ndani, kunifuta na taulo baada ya kuoga na kadhalika. Sasa, kwangu mimi ndio kilichonifanya nimfike kabisaaaa, yaani tukienda mahali, ananifungulia mlango wa gari, anataka kila kitu ninachohikitaji yeye ndio atanifanyia na wakati mwingine vizawadi zawadi bila hata special occassion yeye atataka kunizawadia, yaani kwa ujumla... anavishughuli shughuli hivyo kweli.

  Sasa miaka mitatu tangu tufunge ndoa na tuna mtoto mmoja, lakini mwenzangu sasa anataka nimfanye awe kama mtumwa wangu...yaani slave wangu....nimfunge kamba, nimburuze, na nimchape chape na fimbo au mkanda, nimfunge macho, nimketike mgongoni ili anitembeze tembeze tukiwa chumbani yaani a bit of masoinist type of thing -inabidi niseme mwenzangu ni mweusi kama mimi na ni wa miraba minne haswa ...sasa jamani, mimi kidogo naona vibaya na sipendi huu mchezo... japokuwa tokea mwanzo wa uhusiano alikuwa ananitii sana ..mind you...mimi ni kibotable sana na soft person basi nikadhani ni upendo aliokuwa naye kwangu nisijue kuwa anafantasy ya aina yake.

  Mimi haya mambo kwangu ni mageni saaaaanaa tu, sasa sijui kama nyie pia mmeshaona mambo kama haya kuwa mwanamme miraba minnee atake sana kuplease na kufanywa kama mtumwa. Kwenye mambo ya tendo la ndoa, ni safi sana yaani sina malalamiko kabisa, lakini siku hizi anataka niwe namchapa kwa fimbo au mkanda kabla ya tendo ili apate raha ...jamani... mimi ni mmatumbi (mwafrika) kama yeye na wote ni watanzania, lakini yananishinda...jamani.

  Swali langu ni hivi;

  Kwanza naogopa ndoa yangu itaaisha nisipoonyesha ushirikiano maana anaweza pata mwingine atakayependa haya, pili - hivi, hizi ni style mpya ambazo zimenipita wakati au? tatu-kama ni nyie wanawake wenzangu mngefanyaje?.

  Nitashukuru kwa maoni yenu kina wote mabwana na mabibi

  Wenu mpendwa ....kwenye njia panda [​IMG]
   
 2. RRONDO

  RRONDO JF-Expert Member

  #2
  Jul 24, 2010
  Joined: Jan 3, 2010
  Messages: 25,956
  Likes Received: 21,118
  Trophy Points: 280
  ndio utandawazi huo.......hizo ni fetish tu mazee..............
   
 3. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #3
  Jul 24, 2010
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  ...na uwendawazimu pia!
   
 4. Fisherscom

  Fisherscom JF-Expert Member

  #4
  Jul 24, 2010
  Joined: Mar 13, 2008
  Messages: 1,441
  Likes Received: 255
  Trophy Points: 180
  Nimepapenda hapo kwenye kupiga mkanda,we piga tu si ameomba mwenyewe apigwe labda itapelekea safari yenu kufika kwa raha zote,jaribu uone.
  By the way mkuu mambo ya ndani ya ndoa/mahusiano ni mazito na ya ajabu sana. Kila mmoja angejaribu kufunua mambo yaliyomkuta unaweza kulia ama kucheka hadi kuzirai.
   
 5. Chapakazi

  Chapakazi JF-Expert Member

  #5
  Jul 24, 2010
  Joined: Apr 19, 2009
  Messages: 2,881
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  mfanyie sala!ana pepo la utumwa...wenzetu wanaita pychological problem!
   
 6. Lady N

  Lady N JF-Expert Member

  #6
  Jul 24, 2010
  Joined: Nov 1, 2009
  Messages: 1,919
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  huyo anataka kupigwa mkanda au na mengine jamani? may be anataka kuexpresiwa!!
   
 7. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #7
  Jul 24, 2010
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,822
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  Mhhh
   
 8. B

  Babuyao JF-Expert Member

  #8
  Jul 24, 2010
  Joined: Jun 6, 2009
  Messages: 1,734
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  Huyo ni masochist. Anapata raha mstarehe anapofanyiwa huo ukatili. Bila hivo hana raha, hata hayo mambo ya ndoa hayampi raha. Mpaka achapwe! Dada, kazi ni kwako. Shika mkanda, tandika vilivo mpaka jamaa atabasamu na apandishe midadi yake. Vinginevo utaachika. Duh! duniani kuna mambo!
   
 9. Lyangalo

  Lyangalo JF-Expert Member

  #9
  Jul 24, 2010
  Joined: Sep 10, 2009
  Messages: 681
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 45
  sna mbavu zangu hapa huyo si mtu ni kituko!
   
 10. M

  Mutu JF-Expert Member

  #10
  Jul 25, 2010
  Joined: Mar 30, 2008
  Messages: 1,333
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Yah ni hatari maana those kinda guys obtain sexual gratification from being physically or emotionally abused, humiliated or mistreated, either by another or by oneself,but to me is kind of sexual disorder he need to be treated not to be promoted .
  Ukiachia hiyo wengi wao huenda mpaka kwenye kuua wanaofanya nao sex and that make them feel good too,so you have to discourage that and actual you cant do it youself :you need a good shrink to help you.
  Kwa msaada zaidi just search/google personal disorder treatment and cure
   
 11. Rodcones

  Rodcones JF-Expert Member

  #11
  Jul 25, 2010
  Joined: Oct 16, 2007
  Messages: 403
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Wewe mtu kisha sema anataka nini, na ukae ukielewa kuwa mda ukifika atakuacha ataenda wanakoweza kufanya hivyo na akifanyiwa basi umeachika sasa kazi kwako kunyoa ua kusuka
  na maanisha kuchapa viboko au kuachika katika ndoa.
   
 12. katelero

  katelero JF-Expert Member

  #12
  Jul 25, 2010
  Joined: May 31, 2010
  Messages: 529
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  duu! Si mchezo
   
 13. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #13
  Jul 27, 2010
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 0
  mmh tabu kweli kweli inaonekana bakora za shule za msingi hazijamtosha uyu ennhh???
  ilo pepo mshkaji wangui ebu fanya mpango ukaonane na watu wa kiroho wanaweza kukusaidia!!!!!

  mwombee jaman.
   
 14. roselyne1

  roselyne1 JF-Expert Member

  #14
  Jul 29, 2010
  Joined: Feb 18, 2010
  Messages: 1,369
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  hahahaaa hii kali...
   
 15. funzadume

  funzadume JF-Expert Member

  #15
  Jul 29, 2010
  Joined: Jan 28, 2010
  Messages: 6,505
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  kuna dada mmoja changudoa alihojiwa na kituo cha Clouds Radio kipindi cha njia panda alikuwa anachukuliwa na mzungu anakaa Mikocheni nae walikuwa wanachapana na mikanda kabla ya kukiduana halafu baadae anamwambia yule CD anye kwenye sahani halafu jamaa ananusa kinyesi anasikia raha sana

  yule dada anasema yalikuwa ni mateso makubwa ila yule mzungu alikuwa anamlipa hela nyingi kipato sawa na kwenda kujiuza rejareja wiki mbili mtaani

  Anadai ukifika kwake walinzi wanakuuliza unamjua vizuri lakini uwa anachapa mikanda. Yeye anadai alikuwa anavumilia machangu wenzake wote walichemsha na anadai alikuwa anamchapa yule mzungu mpaka anakuwa mwekundu mwili mzima ila ndio stimu zake
   
 16. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #16
  Jul 29, 2010
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Tena nafikiri wakati wa kumchapa badala ya kuchukua mkanda yeye akachukue ile fimbo ya mpera au mbuyu najua kazi yake ataisikia vilivyo.
  Haya ni mashetani na sio kitu kingine au kama mdau alivyosema kuwa huyu jamaa labda atakuwa anataka kuexpresiwa.:scared:
   
 17. Zneba

  Zneba Senior Member

  #17
  Jul 29, 2010
  Joined: May 12, 2010
  Messages: 192
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  yap hata mi niliskia hiyo story,ni mapepo tu hayo
   
Loading...