Kwenye hilo kundi nipo mbele kabisa.Sidhani kama upo madam😅😅😅
Siku hiz hatutumii makombora , ni mwendo wa drone tuLeo omba omba tumefikiwa ni makombora tu
Mkuu,Afrika kuna magoigoi ya kike ambayo hata hayajui maana ya haki sawa 🤔
Ukiyaambia mwanamke kwenye haki sawa anatakiwa alipe , kwenye matumizi kwa haki sawa na mwanaume ananuna😅😅
Hii ni zaidi kwa wanawake wa kimatumbi ambao wanataka mfumo dume wa kuhudumiwa na huku wanataka haki sawa😅
Ndio hapa unazaliwa msemo wanawake hawajui wanataka nini 🤣
sawa sawa bosiSiku hiz hatutumii makombora , ni mwendo wa drone tu