Magogoni Ikulu imechoka, ni bora walivyoamua kuhamia Chamwino

Blender

JF-Expert Member
Mar 5, 2022
3,621
5,689
Hii 👇 ni tukio la Leo

📍Dar es Salaam

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akiwa katika picha ya pamojana Balozi wa Tanzania nchini Comoro Mhe. SaidiYakubu mara baada ya mazungumzo yaliyofanyika IkuluJijini Dar es salaam tarehe 15 Mei 2024.

📸:O/Makamu wa Rais.

Angalia msingi wa ikulu,( foundation) yenye Rangi black, imeumuka,kuvimba Hii 👇 inasababishwa na uchakavu wa Jengo husika,

Ikichagizwa na natural conditions ya eneo husika mfano chumvi chumvi, magadi, maji maji.

Hongera Kwa kuhamia Chamwino, japo huko nako kuna magadi na chumvi ya kufa MTU.


20240515_165407.jpg
kutoka
 
Mwenge unabomoa nchi, tunalala kwa huzuni. Isaya 50:11

Isaya 50:11 BHN
Lakini nyinyi mnaowasha moto, na kujifanyia silaha za mienge, tembeeni kwa mwanga wa moto huo, miali ya moto mliowasha nyinyi wenyewe. Mtakachopata kutoka kwa Mwenyezi-Mungu ni hiki: Nyinyi mtalala chini na mateso makali.

Isaya 50:11 SRUV​

Tazama, ninyi nyote mwashao moto, mjifungiao hiyo mienge; endeni ninyi katika muali wa moto wenu, na katikati ya mienge mliyoiwasha. Mtayapata haya kwa mkono wangu; mtalala kwa huzuni.
 
Kuna haja ya lazima ya Ku invest kwenye taasisi za serikali zinazo husika na ujenzi na fundi.

Jkt, temesa,vets etc wapewe ujuzi na elimu ya kutumia vifaa vya kisasa Generation ya 6 na wawe up-to-date kwenye New technologies and science,
 
Back
Top Bottom