Kama hawamudu wafungue bar. Nyama tutaikuta barMbadala wake ni nini? Wauza nyama wengi hawawezi mudu gharama ya ile misumemo maalumu ya kukatia mifupa
Kama hawamudu wafungue bar. Nyama tutaikuta barMbadala wake ni nini? Wauza nyama wengi hawawezi mudu gharama ya ile misumemo maalumu ya kukatia mifupa
Mwili wa binadamu unahitaji kiasi fulani cha madini ya chuma; ndio hayo tunakula kwenye unga, samaki na mboga za majaniHaya sasa!! Kama in hivyo basi waasishie hapo,,,waende pia kwenye mashine za kusaga nafaka ,,,,,yale meno yanayo isha, zile particles za chuma zinaenda wapi kama sio kuishia kwenye unga. Hapo kiafya haina madhara!!??
Ile misumeno ya mashine inakata ukubwa wowote wa nyama, hata mapaja mawili kwa pamoja ya ng'ombe, sema tatizo umeme 90% ya mabucha yote nchini hayatumii umeme hata miji pia, watafute mbadala, sina uhakika miti ni sumu, tusibiri mishkaki ya njiti kupigwa marufuku baada ya spokuKabla ya kuingiza nyama kwenye mashine/uikatekate lazima uipigepige kwa shoka nyama sasa itabidi waje na style nyingine
Ova
Serkal kupitia wizara ya afya ,mifugo na uvuvi imepiga marufuku magogo ya kukatia nyama mabuchani ikitaja kuwa yana madhara kwa afya ya walaji
Kiongea na kituo cha EATV mkuu wa kitengo cha afya ya walaji kutoka bodi ya nyama bwana Selvester amesema kuwa wamewapa taarifa ma afsa afya wote wa mikoa na wilaya kisimamia zoezi hilo kwa umakini
Yale magogo ya kukatia nyama huhifadhi uchafu wa mabaki ya nyama na vijidudu na baadae huleta magonjwa kwa walaji,alikaliliwa bwana Silvester akiiiambia EATV
My take
Walikuwa wapi tangu tumeuziwa uchafu na nini mbadala wa magogo haya
Chanzo EATV
Yanaoshwa ila hayaosheki mkuu!Na kweli lakini.
Yale magogo huwa ni machafu sana.
Sijui hata kama huwa yanaoshwa yale.
Tuna miaka kibao tunaumwa matumbo yasiyoeleweka ,mqgonjwa ya maini na figonyqsiyoeleweka halafu tunasema tumerogwa!Tuna miaka kibao tunatumiaaa
KILA bucha? Una uhakika?Kila bucha hayo magogo yapo
Bucha zote? Nchi nzima?Mbona bucha zote zina machine za kukatia nyama? Japo zile mashine naziogopa sana..sijaona magogo siku za karibuni hapa.
Na je hao vijidudu ukienda kupika nyama hawafi)
V(joke)
Serkal kupitia wizara ya afya ,mifugo na uvuvi imepiga marufuku magogo ya kukatia nyama mabuchani ikitaja kuwa yana madhara kwa afya ya walaji
Kiongea na kituo cha EATV mkuu wa kitengo cha afya ya walaji kutoka bodi ya nyama bwana Selvester amesema kuwa wamewapa taarifa ma afsa afya wote wa mikoa na wilaya kisimamia zoezi hilo kwa umakini
Yale magogo ya kukatia nyama huhifadhi uchafu wa mabaki ya nyama na vijidudu na baadae huleta magonjwa kwa walaji,alikaliliwa bwana Silvester akiiiambia EATV
My take
Walikuwa wapi tangu tumeuziwa uchafu na nini mbadala wa magogo haya
Chanzo EATV
Sidhani maana kuna bucha zinatumia zile mashine siku nyingiHopefull gharama za mashine za kukatia nyama hatutorudishiwa walaji, maana wafanya biashara wanajijua wenyewe.
Na kweli lakini.
Yale magogo huwa ni machafu sana.
Sijui hata kama huwa yanaoshwa yale.
hivi kati ya vipande vya mti na chembechembe za vyuma kipi bora?Hayaosheki yale
Afu ukikata nyama na shoka shoka linashuka na vipande vya nyama na kujinasa kwenye gogo kuvitoa kazi
Ni wakati Watanzania tuanze jali tunachokula