Hivi na yale magari ya DANGOTE yaliwekewa mitumba au yenyewe hayakwaruziki? Mtoa Mada
Cushion hua zipo ambazo ni maalum kwa wenye uwezo wanaweza ... sijui kwanini hili haliwleweki miaka mingi sana watu wa kawaida hupakia magari yao na cushion tofauti tofauti ... isitoshe Rais alisema "mitumba mibovu mibovu...! Kwa kawaida mitumba hua inafungwa kwa kilo (marobota) kadhaa na ina package zake haitupwi tupwi kwenye containa bila mpango!
Jambo jingine haiwezekani uzito wa gari na mitumba kutofahamika .... halafu Sijawahi ona mitumba ya Japan