Magodoro Na Mitumba Kama Packing cushions kwenye Container la Magari!

TL. Marandu

JF-Expert Member
Jul 12, 2015
3,625
5,810
2017-03-25_17.55.54.jpg
Sio Kweli ati Kuwa Watu wanaficha Magari kwenye Makontainer ya Magari hasa ya Thamwni ili Kuyaficha. Magodoro makuuku na Mitumba inatumika ili Kuzuia Magarari hayo yasikwaruzike. Kwani Utakuta Marobota Mawili ya Mtumba hata Laki 5 hayafiki kwa hiyo ni Busara kununua Mitumba na Kuitumia kama picking cushions!

Kwa hiyo ni Uwezekano Mkubwa upo kuwa. Ile Movie ya Magufuli ilikuwa ni Kukata Makuguli kwenye container zenye Magari yaliyokuwa yamekuwa cushioned na Mitumba na sio yaliyodanganyiwa ni ya Mitumba!

Kadhalika Pia yamesemekana Kuna Makontainer ya udongo wa dhahabu ambao eti haturuhusiwi kuuona ati Rais anaogopa Tutalia Machozi,

1)Mawazo alipouawa kinyama na kisha akakataliwa asizikwe tulilia machozi
2)Wabunge walipopelekewa Mbwa Bungeni tulilia Machozi
3)Watoto 7900 walipotimuliwa katika stendi za Magari na kuitwa Vilazza Tulitlia Machozi
4)Lipumba alivyosaidiwa na Polisi Kuvunja Ofisi za Cuf tulilia machozi
5)Lema alivhokamatwa kwa kusimulia Ndoto aliyoiota na kuwekwa rumande miezi 4 tulilia machozi
6)Vita vya Madawa vilipogeuzwa na kutumiwa Kisiasa na kuchafuana tulilia Machozi
7)Bashite RC wa Dar alipogeuza Vita vya madawa kuwa mtaji wa kujipatia Magari ya thamani na Magu unaiona hiyo ni kazi, ukamwambia aichape, tulilia machozi
8) Bashite alipovamia Clouds tulilia Machozi.
9) Ulivyotujibu Kunya pale Ubungo tulilia machozi
10) Nape alipolengwa na kutishiwa na bastola, tulilia machozi.

Sasa Kulia Tumezoea Tunataka Kuona kwa kuwakilishwa na Wanahabari, Tunataka kuona Makontena hayo uliyosema na Yale Speaker Ndugai anayosema yote yakifuunguliwa, sio kazi yako Kutuzuia Kulia au kutokulia, Acha tulie nchi ni yetu, macho ni yetu na machozi ni yetu, vinginevyo tutachukulia ni Mediea Manipulation.
 
Sisi tunaosafirisha mizigo tulijua tokea siku ya mwanzo kwamba Ndugu Rais kapewa taarifa potofu..Yale mambo ya kuweka marobota ya Nguo ili gari lisichunike na contener yapo hadi Ulaya.
Mambo mengine kutamkwa na Mkuu wa nchi ni aibu sana ila ndio wetu hatuna namna

Lakini document zinaonyesha ndani kuna nguo za mitumba. Mbona mnatetea vitu vya kifisadi nyie ukawa.
 
Kama taarifa zilisema mzigo unaosafirishwa ni magari, na kodi kulipwa ya magari hakuna tatizo. Ubaya unakuja kama taarifa zinasema ni mitumba ndio inasafirishwa kumbe ndani ni magari. Tusiwatetee wanaotuibia. Tukumbuke kuna wananchi masikini na hasa watumishi serikalini ambao wanalipa kodi kila mwezi.
 
Hawa wachagga wanatuangusha kweli yaani wanaunda tume kwaajili ya uchunguzi wa uvamizi wa clouds media.
 
Lakini document zinaonyesha ndani kuna nguo za mitumba. Mbona mnatetea vitu vya kifisadi nyie ukawa.
Kwaiyo kila mtu anayeelezea ufahamu wake ambao unatofautiana na ufahamu wenu mnampachika jina la ukawa!! Haya ni maajabu sana,kikubwa tunataka kujua magari ni ya nani na lini mmiliki atafikishwa mahakamani? Maana Rais alikagua yale makontena yenye magari katika siku ambazo tulitarajia kesho yake wamiliki wangepelekwa mahakamani lakini mpaka hii Leo hatujasikia lolote kaam walivyotuaminisha
 
Nani ameona documents za makontena yale..Rais amesema ni mitumba ya nguo ndani yake ni magari ya kifahari..Rais ni mwanasiasa anaweza pia akawa anasema uongo..Bandari wamemfungulia Rais aone ndani ya kontena hawajaweka wala hakuna aliyeweka nyaraka kama kielelezo cha story ile pale..hapo napo ni tatizo kubwa sana. Sijui tuamini Rais kasema au nyarka husika ambazo kaona yeye mwenyewe..au TL Marandu na assumption zake za aina ya usafirishwaji wa magari. Mwisho eti nasikia yale mankotena yanaenda Zambia sio yamekuja Tanzania bandari au TZ ni transit tu basi..hivi tumeibiwa kwa kuwa ni transit country au anaibiwa Zambia anapoelekea mzigo?? Wajuvi mnieleweshe akiwamo mtoa mada.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom