Kimbunga
Platinum Member
- Oct 4, 2007
- 14,977
- 10,075
Mkuu kwani kwenye documents zao waliandikaje?Sisi tunaosafirisha mizigo tulijua tokea siku ya mwanzo kwamba Ndugu Rais kapewa taarifa potofu..Yale mambo ya kuweka marobota ya Nguo ili gari lisichunike na contener yapo hadi Ulaya.
Mambo mengine kutamkwa na Mkuu wa nchi ni aibu sana ila ndio wetu hatuna namna