Magodoro Na Mitumba Kama Packing cushions kwenye Container la Magari!

Sisi tunaosafirisha mizigo tulijua tokea siku ya mwanzo kwamba Ndugu Rais kapewa taarifa potofu..Yale mambo ya kuweka marobota ya Nguo ili gari lisichunike na contener yapo hadi Ulaya.
Mambo mengine kutamkwa na Mkuu wa nchi ni aibu sana ila ndio wetu hatuna namna
Documents zake zinaonyesha mzigo uliyopo ktk container ni ya mitumba ambayo ni nguo na viatu na hapo ndipo utata ulipo tu.
 
Na mie nilitazama nikaona nguo zimetolewa kwenye marobota, nikasema ivi hawa wafanyakazi walishindwa kumwambia ukweli raisi?
 
Nani ameona documents za makontena yale..Rais amesema ni mitumba ya nguo ndani yake ni magari ya kifahari..Rais ni mwanasiasa anaweza pia akawa anasema uongo..Bandari wamemfungulia Rais aone ndani ya kontena hawajaweka wala hakuna aliyeweka nyaraka kama kielelezo cha story ile pale..hapo napo ni tatizo kubwa sana. Sijui tuamini Rais kasema au nyarka husika ambazo kaona yeye mwenyewe..au TL Marandu na assumption zake za aina ya usafirishwaji wa magari. Mwisho eti nasikia yale mankotena yanaenda Zambia sio yamekuja Tanzania bandari au TZ ni transit tu basi..hivi tumeibiwa kwa kuwa ni transit country au anaibiwa Zambia anapoelekea mzigo?? Wajuvi mnieleweshe akiwamo mtoa mada.
Lazima tujiulize kwa mizigo inayoenda nchi jirani tunatoza ushuru kutokana na aina ya bidhaa au na uzito wa mzigo au kwa kuzingatia vyote? Kama ni kwa vyote au kwa aina ya mzigo au kwa thamani ya mzigo basi kukiwa na udanganyifu wa aina na thamani ya bidhaa basi tunaibiwa hata kama mzigo ni transit unaenda nje. Tusiwe wepesi kulaumu kwa mambo tusiyo yajua.
 
Huo wako ni upumbavu wa akili, kosa alilofanya mwenye hayo magari (kama ni kweli) ni uhujumu uchumi na tangu enzi za kwanza wahujumu uchumi wote huwekwa hadharani maana ushahidi upo,na kama upo wamazo Documents haihitaji kufikiria mara 2 kumuweka wahadharani kisha kumpeleka mahakamani, hii ni tofauti na akili zako fupi za kutumia jambo moja Ku generalize mambo yote
Upumbavu wangu ni ujinga wako
 
Lakini document zinaonyesha ndani kuna nguo za mitumba. Mbona mnatetea vitu vya kifisadi nyie ukawa.
Kweli hata mimi as of recent nimeingia katika mkumbo wa kumchukia Rais wetu (he deserve somehow)lakini kwa mujibu wa taarifa zilizopo zile container si za magari bali mitumba na kama taarifa documents kweli zimeainisha hivyo well kudos kwa our president(ila chuki yangu iko palepale mpaka nitakadai vinginevyo)
 
Wazoefu wa kazi za kusafirisha magari toeni maelezo.Naona ushabiki tu hakuna maelezo ya maana na ya hakika.
 
Kweli mkuu, yanatumika kama cushion na kwenye document za mzigo wanaandika "mitumba ya nguo aina ya range rover"
Pumbavu sana muanzisha mada!
Hizo document zilivyoandika kua ni mitumba tu na kwamba haikuandikwa gari je wewe umeziona?

Kama wameweza kutuonyesha gari kwa nini hawakutuonyesha hizo document?

Mbona mambo mengine mnatuonyesha na vidhibiti na hapa mtuonyeshe hizo document basi.

TAKE ONE ACTIOOON!!! Imebuma!!!

Watengeneze nyingine viongozi wa nchi acheni sanaaa!!!
 
Sisi tunaosafirisha mizigo tulijua tokea siku ya mwanzo kwamba Ndugu Rais kapewa taarifa potofu..Yale mambo ya kuweka marobota ya Nguo ili gari lisichunike na contener yapo hadi Ulaya.
Mambo mengine kutamkwa na Mkuu wa nchi ni aibu sana ila ndio wetu hatuna namna
Pamoja na yote issue si mitumba kutumika Bali mini kilochoandikwa kuwamo.
 
Ila wasukuma na akili za ki bashite 0 ndio wa kuwasapot. Kweli gari litoke first or second world country ambapo kuna mitambo bab kubwa ya ukaguzi isigundulike iingie bongo,primitive wa kisukuma aoteshwe na kwenda kulikamata bandarini, hiyo stori kawasimulieni wake zenu wanaoishi kwa kudundwa kila mnapoamua.
safi Sana kwa makavu, ile video wapumbavu wengi ndio wanajua ni true , kumbe:D:D
 
Mi nauliza kwanini lema alienda kwenye mkutano wa ACT-wazalendo

Alikaribishwa, mkutano ulikua Arusha na yeye ni mbunge wa Arusha... ! Naamini Zitto bado ana marafiki CDM alipoenguliwa na Dr. Slaa wengi walikua kimya ila hawakupenda
 
Sisi tunaosafirisha mizigo tulijua tokea siku ya mwanzo kwamba Ndugu Rais kapewa taarifa potofu..Yale mambo ya kuweka marobota ya Nguo ili gari lisichunike na contener yapo hadi Ulaya.
Mambo mengine kutamkwa na Mkuu wa nchi ni aibu sana ila ndio wetu hatuna namna
Kitu ninachojiuliza ni kwamba je hilo gari atalisajili vipi bila document za kulipia kodi, na yeye atazipata wapi? Labda kama na TRA, Nao wanaohusika, gari siyo kama baiskeli, gari linataribu nyingi hadi lipite barabarani.
 
View attachment 487098 Sio Kweli ati Kuwa Watu wanaficha Magari kwenye Makontainer ya Magari hasa ya Thamwni ili Kuyaficha. Magodoro makuuku na Mitumba inatumika ili Kuzuia Magarari hayo yasikwaruzike. Kwani Utakuta Marobota Mawili ya Mtumba hata Laki 5 hayafiki kwa hiyo ni Busara kununua Mitumba na Kuitumia kama picking cushions!

Kwa hiyo ni Uwezekano Mkubwa upo kuwa. Ile Movie ya Magufuli ilikuwa ni Kukata Makuguli kwenye container zenye Magari yaliyokuwa yamekuwa cushioned na Mitumba na sio yaliyodanganyiwa ni ya Mitumba!

Kadhalika Pia yamesemekana Kuna Makontainer ya udongo wa dhahabu ambao eti haturuhusiwi kuuona ati Rais anaogopa Tutalia Machozi,

1)Mawazo alipouawa kinyama na kisha akakataliwa asizikwe tulilia machozi
2)Wabunge walipopelekewa Mbwa Bungeni tulilia Machozi
3)Watoto 7900 walipotimuliwa katika stendi za Magari na kuitwa Vilazza Tulitlia Machozi
4)Lipumba alivyosaidiwa na Polisi Kuvunja Ofisi za Cuf tulilia machozi
5)Lema alivhokamatwa kwa kusimulia Ndoto aliyoiota na kuwekwa rumande miezi 4 tulilia machozi
6)Vita vya Madawa vilipogeuzwa na kutumiwa Kisiasa na kuchafuana tulilia Machozi
7)Bashite RC wa Dar alipogeuza Vita vya madawa kuwa mtaji wa kujipatia Magari ya thamani na Magu unaiona hiyo ni kazi, ukamwambia aichape, tulilia machozi
8) Bashite alipovamia Clouds tulilia Machozi.
9) Ulivyotujibu Kunya pale Ubungo tulilia machozi
10) Nape alipolengwa na kutishiwa na bastola, tulilia machozi.

Sasa Kulia Tumezoea Tunataka Kuona kwa kuwakilishwa na Wanahabari, Tunataka kuona Makontena hayo uliyosema na Yale Speaker Ndugai anayosema yote yakifuunguliwa, sio kazi yako Kutuzuia Kulia au kutokulia, Acha tulie nchi ni yetu, macho ni yetu na machozi ni yetu, vinginevyo tutachukulia ni Mediea Manipulation.
Poleni sana na kampeni zenu kubwa za UPOTOSHAJI.
Kama una lengo zuri tafuta taarifa za kina, nenda YouTube, kuna full coverage ya tukio zima.
Maelezo yamejitosheleza kwamba Nyaraka zinasema kwenye Container kuna mitumba ya Nguo na Viatu, hata hayo magodoro hayakutajwa.
Lakini kilichomo ni Magari ya kifahari.
Hivi unataka kutuambia JPM hajui packing ya magari kwenye makontena, hata bandari hawajui parking ya magari.
Bandari wanatoa taarifa wamekamata bandarini Dar, Zanzibar na maeneo mengine kama ICDs
Acheni dharau na kujiona mnajua mambo ya parking kuliko Bandari na Rais na wasaidizi wake
Hivi unafikiri miaka 20 ya uwaziri hajasafirisha gari toka nje...?
Au hana exposure kuweza kujua parking...!?
Haya wewe unaejua Parking sijui cushions..., nikuulize,nguo na magodoro vinakinga gari.. na viatu navyo vina cushion kuzuia michubuko..!!??
Sometimes huwa naona aibu sana kusoma post za namna hii tunaidhalilisha sana JF
 
Sisi tunaosafirisha mizigo tulijua tokea siku ya mwanzo kwamba Ndugu Rais kapewa taarifa potofu..Yale mambo ya kuweka marobota ya Nguo ili gari lisichunike na contener yapo hadi Ulaya.
Mambo mengine kutamkwa na Mkuu wa nchi ni aibu sana ila ndio wetu hatuna namna

mkuu maneno matupu hatuwezi kukuamini! ungetupia na bill of lading tuone ili declare kitu gani? weka BL hapa inayocorresond na container number. hapo tutajua we mkweli magu muongo.

sababu point sio kuweka magodoro kuzuia magari ndani ya container yasichubuke! point ni kudanganya kwenye container kuna mitumba tu kumbe na gari limo.
 
Documents ni mali ya TRA huwezi kuweka mtandaoni kama anavyofanya Mange


Kwa hiyo tuamini porojo tu wakati mtu huyo akiwa chattle aliwahi kutuambia kuwa kuna meli ziliingia nchini bila kuonekana zikashusha mizigo na kutokomea bila kuonekana,sasa sijuwi meli hizo ni "nyambizi" au za kishirikina!Bila documents ni vigumu sana kumuamini huyu mtu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom