View attachment 487098 Sio Kweli ati Kuwa Watu wanaficha Magari kwenye Makontainer ya Magari hasa ya Thamwni ili Kuyaficha. Magodoro makuuku na Mitumba inatumika ili Kuzuia Magarari hayo yasikwaruzike. Kwani Utakuta Marobota Mawili ya Mtumba hata Laki 5 hayafiki kwa hiyo ni Busara kununua Mitumba na Kuitumia kama picking cushions!
Kwa hiyo ni Uwezekano Mkubww Ile Movie ya Magufuli ilikuwa ni Kukata Makuguli kwenye container zenye Magari yaliyokuwa yamekuwa cushioned na Mitumba na sio yaliyodanganyiwa ni ya Mitumba!