ephen_
JF-Expert Member
- Oct 28, 2022
- 20,565
- 75,400
Tunatofautiana! Sipendi godoro linalobonyeaSasa kama halibonyei utapataje utamu?
Tunatofautiana! Sipendi godoro linalobonyeaSasa kama halibonyei utapataje utamu?
Kwamba ukililalia badala ya kubonyea lenyewe linatuna. Kwa uzoefu wangu na hili liumri wangu, magodoro yote napoyalalia lazima yabonyee...Langu halibonyei?
Umemaanisha nini kuhusu kuvimba?
We jamaa iko siku utahamishia malazi sakafuni juu ya mkeka...Tunatofautiana! Sipendi godoro linalobonyea
Nipo kitandani sasa hivi, godoro halijabonyeaKwamba ukililalia badala ya kubonyea lenyew linatuna. Kwa uzoefu wangu na hili liumri wangu, magodoro yote napoyalalia lazima yabonyee...
Wewe utakua na mwili wa nyama zilizokaza.Tunatofautiana! Sipendi godoro linalobonyea
Sio sasa godoro liwe gumu kama sakafu!We jamaa iko siku utahamishia malazi sakafuni juu ya mkeka...
Hongera sana.Nipo kitandani sasa hivi, godoro halijabonyea
Wewe unatumia godoro gani?Wewe utakua na mwili wa nyama zilizokaza.
Mimi natumia tanfoam lolita springWewe unatumia godoro gani?
Nimegoogle Tanfoam wana magodoro magumu, kati na laini.
Asa si Bora ulalie ubaoKama unataka godoro ambalo halibonyei Tanfoam ni nzuri
Upo vizuri unajua hadi ainaMimi natumia tanfoam lolita spring
Naona hamnielewiAsa si Bora ulalie ubao