ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 17,242
- 40,827
- Thread starter
-
- #181
Hivi amejaribu kuzamia chumvini?H n kweli kabisa aisee, Ndo mana Hua naachwa kila wakati, juzi kati tuu hapa nmeachwa.
Mbaya zaidi unakuta una girl unamuona Huyu ndo natoboa nae Ila anakuja kukuacha 😭
Cjui nakosea wap aisee
Nitasimulia tu msiwe na harakaHakuna hiyo au ulitoa boko
Dah! Yaani ukisikia kuna watu hawajafuzwa na mama zao, wamefuzwa na ulimwengu... Ndo sisi. [emoji12]Ila we akili yako [emoji12][emoji2][emoji2]
Ogopa....Anazingua huyu labda kama alishikwa bega
Sawa ngoja tuoneNitasimulia tu msiwe na haraka
Hivi hiyo avatar uliipendea nini ?Ogopa....
Hii picha huwa inanifikirisha sana.Hivi hiyo avatar uliipendea nini? Hivi kweli wewe ni me au unapoteza maboya?
Yah hua nafanya hvyHivi amejaribu kuzamia chumvini?
Dah! Aisee me sijaanza. Vipi kuna raha yake uko.Yah hua nafanya hvy
Kwahiyo hiyo picha ndio future wifeHii picha huwa inanifikirisha sana.
Na bado unaacwa aiseeYah hua nafanya hvy
Inategemea unafanya kwa nanDah! Aisee me sijaanza. Vipi kuna raha yake uko.
Wanawake ni majangili.Na bado unaacwa aisee
Yaan nikimtazama huyo mdada huwa natabasamu kwa wivu. Afu kuna mawazo lukuki huwa yanapita kichwani kwa spidi kali. Nikisoma maneno hayo huwa nafurahia.Kwahiyo hiyo picha ndio future wife
Then huyo kijana ndio wewe
Unatabasamu kwa hiyo picha tu 🤣Yaan nikimtazama huyo mdada huwa natabasamu kwa wivu. Afu kuna mawazo lukuki huwa yanapita kichwani kwa spidi kali. Nikisoma maneno hayo huwa nafurahia.
Tabasamu lake ni la mahaba na upendo wa ukweli.
Ila dunia....
Hivi ni ex wangu huyo.
🤣🤣🤣Wanawake ni majangili.
Mlango wa hormuz kucwa lilikua swala mda we hapo una muandaa kumfanyaje ?Imagine nilikuwa namnyonya hadi mkungu na bado nikaachwa 😭
Kwa nani kivipi bwanaa!!Inategemea unafanya kwa nan
Kwani sheria ya kuzama chumvin hakuna kuachwa.Na bado unaacwa aisee
Ukizama vizuri then ukatoa na sasampa unaachajwe kijana?Kwani sheria ya kuzama chumvin hakuna kuachwa.
Sio kwa kila girl, unafanya hvy kwa girl unayemuamini tuuKwa nani kivipi bwanaa!!
Kwan we ulikuwa unafanya kwa nan¿¿