Maggid ana nini na CDM?

Maggid na Shossi,

Tatizo la wengi humu JF ni kwamba ni wapenzi damu wa Chadema na kukiwa na criticism zenye kuwaumbua Chadema hun'gaka na kutoa maneno ya kejeli ili kumdiscredit yule aliyetoa mada aonekane mpuuzi. Hii ni dalili kuwa either mtoa hoja amewaambia ukweli au mna chuki na mtoa hoja. Sasa binafsi mtazamo ambao ni bias huwa siupendi maana huchangia kupelekea kwenye bias conclusion na wrong interpretation. Chadema nawaambia tena fikra za mwenyekiti zidumu ni mfumo hauna tofauti na CCM na hilo litapelekea chama kufa na kama sio kupotea kabisa. Ni vizuri mkajichunguza na kujipima kwani hata wale waliokuwa wanawaunga mkono kwa mbali hawatakuungeni mkono tena 2015. Waswahili hunena ukiumwa na nyoka hata nyasi zikitikisika mtu hukimbia vilevile mtu akisikia tena Chadema baada ya kuwachukia hatasikiliza hata hoja gani inazungumzwa. Sasa ushauri wangu kwenu wawili ni kwamba toeni hoja kwa misingi unayoitambua wewe ndio maana ya kuitwa msomi lazima uwe na misimamo unayoiamini. Kuna watakaokubaliana nayo na wengine kuipinga but mwisho wa siku ujumbe umefika.
 

Huo upupu wako bakiza kwenye blog yako! Unakera unaudhi unakuwa kama mnyama mwenye mkia mfupi!
 

Mkuu Magidd katoka kuchunga ng'ombe ndo kashika karamu angalia hapo chini
 
Rudi kweni iran


Hahahahahaha asanta sana kumbe mkichukua madaraka ndio mtafanya hivi? kwa taarifa yako babu wa babu yangu kaburi lake lipo pale mtaa wa samora kwenye gadeni tangu amekufa inakaribia miaka mia moja mimi naweza kuwa mtanzania zaidi yako na tukakukuta wewe ni mnyarwanda, au ndugu yake obama unatoka nyanza ila rangi yako umejimix ukaonekana na wewe mwenzetu. Nadhani hakutakuwa na faida kujibishana na mtu mwenye ID feki itakuwa ni sawa na kuzozana na ukuta!
 
Maggid endelea kuzungumza na kuandika unachofikiri,tuko tunaokuheshimu.Usipoteze muda kubishana na baadhi ya watu JF,wanaongozwa na chuki na hawajui kuheshimu mawazo ya tofauti na ya kwao.:coffee:
 

Tutaanza na RA
 
Hivi kumbe bongo unaweza kujulikana hata kama huna la maana! Jina Majjid ni jina linalojulikana sana miongoni mwa wasomaji wa makala Tz. Lakini nashangaa uchambuzi wake kimpangilio, kimantiki na kilugha, unaonyesha IQ ya huyu jamaa ni ndogo sana.
 
Kiongozi, hoja zako hazina uchambuzi, ulichofanya ni kuwashambulia CDM, kuanzia sentensi ya kwanza bila hata kuonyesha kile ambacho CDM wanakisimamia; Watu wanaondika hivi wengi wao lazima Ni watu wa upande wa pili wa Shs angalau wasingependa kuwa object kwenye hoja iliyo mbele yao lakini kuwa subjective kwa sababu tu ya mitazamo yao tofauti na CDM
 
Safi sana mtu wa Zanzibar, naona wewe ndio msemaji wa Majid na ni mmoja kati ya wanaoamini kuwa kitendo cha Chadema kutoka nje ya Ukumbi wa Bunge kupisha upigaji kura wa Azimio wasiloliafiki si cha kiungwana.Ninawasiwasi na uelewa wako kwa hilo ndugu yangu. Naona unataka elimu yangu, nakwahidi kama siku ukiweka thread ya kunijadidli mimi hapa JF kuhusu elimu yangu nitaiweka hadharani, kwa sasa si lazima kwani hii thead inahusu kumjadili Majid Mjengwa. Kama unahitaji zaidi nitembelee physically, napatikana

Echtensten 1103 AA
146
Amsterdam Zuidoost
Amsterdam
Netherlands.
 
Mkuu Magidd katoka kuchunga ng'ombe ndo kashika karamu angalia hapo chini
Mkuu,

Hata kama alikuwa mchunga ng'ombe kama ulivyosema hapo juu pengine anaweza kuwa na hekima ya kushinda msomi mwenye madegree lukuki. Akawa anaandika vitu vyenye kueleweka zaidi ya msomi. Marekani kuna marais waliwahi kuongoza vizuri na hawakuwa na hata degree mfukoni mfano Harry Truman, Grover Cleveland, George Washington na wengine wengi tu.
 
Mkuu Magidd katoka kuchunga ng'ombe ndo kashika karamu angalia hapo chini

King of Kings, ndiye wewe Yesu tunaemngoja au kuna mwingine? Kula tiz la lugha bas... Kwenye aRa unaweka ErO, na kwenye ErO unaweka aRa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…