Baba_Enock
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 7,076
- 2,443
Kwa muda mrefu nimekuwa nikifuatilia uwepo wa magezeti ya Tanzania kwenye "Internet" kwa zaidi ya Miaka 10 na zaidi sasa - Na mimi ni mmojawapo wa wa-Tanzania wa kwanza kuchapisha gazeti moja kwenye "Internet" - tatizo langu kubwa ni kwamba uchapishaji wa haya magazeti mtandaoni umebakia kuwa "business as usual"! hakuna chembe ya ubunifu hata kidogo na wakati mwingi "websites" huwa hazipatikana:
Re: mwananchi.co.tz
Tatizo ni nini hasa?
Re: mwananchi.co.tz
jtablesession::Store Failed
DB function failed with error number 1062
Duplicate entry '1-' for key 2 SQL=INSERT INTO `jos_session` ( `session_id`,`time`,`username`,`gid`,`guest`,`client_id` ) VALUES ( 'f059c4e38ae0dfd39275b3f1142da011','1281364997','','0','1','0' )
Tatizo ni nini hasa?