Magesa Mulongo unamuongeleaje?

Watu wa kabila analotokea huyu jamaa wala sishangai, ndivyo walivyo. Wachimvi, wanafki, waongo, wambea kupitiliza. Wanaweza wakaanza kukusema kilugha ukiwa umekaa hapo hapo
 
Kwa wale mnaomfaham naomba tumuongelee tabia zake coz nasikia ndiye aliyeanzisha ugomv na RAS ila akapeleka umbea Ikulu na jamaa akafukuzwa
Wajita naomba mnisamehe! Wajita hawafai wanapenda kujiinua sana! Huyu jamaa anastahili kukandikwa makonde, sijui kwa nini Dr. Faisal hakujitoa ufahamu alipige ngumi hili jitu! Sasa sijui linaona fahari gani kumpotezea mwenzake kazi! Magufuli naye sijui hiyo management kaisomea wapi? Wewe hujiridhishi bwana?!!!
 
Kwa mujibu wa gazeti la Mwanahalisi ni'mlamba viatu vya mfalme'
Alipokuwa DC Bagamoyo alikuwa akiiendea sokoni familia ya Mkwere na kuifanyia kazi za mtumishi wa ndani
 
Uyo dem alipata kiburi saaaana enzi izo,hata benki aliifanya kama yake,kuna siku alikutana na kichwa kibovu pale alipigwa risasi na afande hata sahau maisha yake,nilikuepo iyo siku,alafu kumbe walikua wamemchoka tabia zake
 
Mimi binafsi sina habari za RAS na Magesa Mulongo kwa hiyo siwezi kujibu hoja yako. Ila huyu mkuu wa mkoa wa Mwanza ambaye alihamishwa toka Arusha ni mtu mwenye kujisikia na kuona yeye ni yeye tu dunia hii.
Kwa kuongezea, alipo kuwa Arusha alifunga barabara ya umma ati, magari yakipita yanarusha vumbi nyumbani kwake.
Kulipo kuwa na tatizo Chuo cha Uhasibu Mh. Lema akafanikiwa kuwatuliza wanachuo, alipo fika pale aliagiza Lema akamatwe ati kaanzisha fujo chuoni.
Aliingilia halmashauri na kuchukua hela za mabango. Huyo ni Rc wa Mwanza kwa sasa. Arusha walimchoka mzee wa vimodel
 
Uyo dem alipata kiburi saaaana enzi izo,hata benki aliifanya kama yake,kuna siku alikutana na kichwa kibovu pale alipigwa risasi na afande hata sahau maisha yake,nilikuepo iyo siku,alafu kumbe walikua wamemchoka tabia zake
Tulimchoka haswa sio kidogo, alivyoondoka tulifurahi hata jiji lenyewe lilijua adui kaondoka amani imerejea, uchaguzi umefanyika salama hata meya amepatikana salama, jamaa nuksi sana yule.
 
m
mbona unaongea kwa jazba sana mkuu,au ndiye anayekulipia ada nini?kazi za kuajiriwa hazina garantee
 
Kuna hawala yake alipigwa risasi na polisi pale tra Arusha,baada ya kupaki gari vibaya na kumtishia askari polisi kwa bastola.Sijui ile kesi iliishia wapi vile?
 
Ni kati ya viongozi wasiopenda majungu na uonevu hasa watumishi wa ngazi ya chini, kwa ufupi ni muwazi sana .
 
Limbukeni mmoja ambae alikuwa kibaraka wa familia ya JK akiwa bagamoyo akajipendekeza sana kwa familia pale hadi wakamuombea apande awe RC! Yeye pamoja na Fatuma Mwasa (Wama) ndio watoto wa familia kuhakikisha familia haina shida! Alikuwa antoa hadi pesa zake kwa vijana wakale bata....ili feedback nzuri ifike kwa JK. Hana weledi wowote zaidi kujipendekeza! Hana Fikra wala busara.....namjua vizuri sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…