Magereza ya Norway

Magereza ya Norway

Kweli The hammer, room kali huduma zote muhimu zipo.

Hapo umenyimwa uhuru tu wa kuzurura na kufanya uyapendayo.Ila ukilinganisha na life letu huku basi ni bora kufungwa huko,na serikali zetu zingeweka mazingira kama hivyo zingejikuta zinajenga mpaka mahema maana ingekuwa si kufurika huko kwa wafungwa.
 
Hapa bongo kwa akili za wabongo wangekuwa wanabaka na kuua kila siku ili wafungwe miaka mingi
 
Duh me ningekuwa nafanya makosa kila cku
 
Dah! Hiyo canteen kama restaurant ya nyota tatu Bongo!!!....aibuu
 
Back
Top Bottom