MAGAZIJUTO

MAGAZIJUTO

Duh math ni khatari kuna jamaa mmoja yupo kule Mchikichini mwenyewe anajiita HIDDEN,, yani amemeza hadi ile four figures
Ha ha haaaaaaaaa anafanya shughuli gani.Inabidi afungue kijiwe Cha tution.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ulitoka bure form two hiyo haaaa haaaa
Jamani Kuna ile kitu ilikuwa inaitwa logarithm na four figure.Mie nilipita bure kabisa ilikuwa Kama msabato na Quran.Yani sijawahi ielewa.
 
Simultaneous Equation.
Aisee!... Ile unafungua tu karatasi unakutana na kitu hiki:

Solve the two simultaneous equations:
2y + x = 8 [1]
1 + y = 2x [2]

from [2] y = 2x -1 ← subtract 1 from each side
Substituting this value for y into [1] gives:

2(2x – 1) + x = 8

4x – 2 + x = 8 ← expand the brackets
5x – 2 = 8 ←tidy up
5x = 10 ←Add 2 to each side
x = 2 ←By dividing both sides by 5 the value of x is found.

Substitute the value of x into y = 2x – 1 gives
y = 4 - 1 = 3

😀😀😀
 
Mwanahabari wa kituo cha runinga cha the citizen nchini kenya kufanyiwa uchunguzi wa akili.
 
Acha tu.Sikumbuki hata ilikuwa form ngapi.Sema jina la topic halinitoki maana ilinidhalilisha.Kuna jamaa alijitolea kunifundisha.Sikumbuki Kama nilimwelewa kwakweli.Ilikuwa mwalimu akimteua mtu akafanye hesabu ubaoni.Mwanafunzi akimaliza mnaulizwa is he/she correct,tuna majina ya wakali wetu Kama sio miongoni mwa wale tunasema Nooo.Akiwa miongoni mwao tunasema Yeeeeees lakini hatujui Kama kweli amepata.
 
Katika pita pita zangu huku na kule nimegundua ya kwamba kanuni moja matata tuliyokuwa tukitumia mashuleni hasa elimu msingi na sekondari ya MAGAZIJUTO ndio iko applicable katika daily life la mwanadamu yeyote bila kujali kama hakwenda shule au alienda.


Cha kushangaza zaidi hata wenzetu wale waliokuwa wakijinasibu kuwa wao ni HKL kule sekondari wanatumia hii kanuni bila kujijua.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]


Chezea maths wewe[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Fafanua MAGAZIJUTO inakua applied vipi in life.

Kwa mfano jambo gani ktk maisha una apply hii.?
 
Liner prog inatumika kwa mainjinia hasa kwenye projects mbali mbali za ujenzi, ukifika chuo utasoma, operation research.
 
Katika pita pita zangu huku na kule nimegundua ya kwamba kanuni moja matata tuliyokuwa tukitumia mashuleni hasa elimu msingi na sekondari ya MAGAZIJUTO ndio iko applicable katika daily life la mwanadamu yeyote bila kujali kama hakwenda shule au alienda.


Cha kushangaza zaidi hata wenzetu wale waliokuwa wakijinasibu kuwa wao ni HKL kule sekondari wanatumia hii kanuni bila kujijua.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]


Chezea maths wewe[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mfano wa matumizi yake basi?
 
Back
Top Bottom