Ndo hayo hapo, unataka kuyafanya nini?
- Mwananchi
- Mwanahalisi
- Mwanaspoti
- Tanzania Daima
- Raia mwema
- Mwananchi
- Mwanahalisi
- Mwanaspoti
- Tanzania Daima
- Raia mwema
wadau ninapenda kujua magazeti mawili yanayoongoza kwa kusomwa sana na watu hapa nchini?
Hard and soft copies haya yapo juu kabisa. Kwanza wako active kwenye ku-update kwenye mtandao siyo mwanahalisi sijui wamelewa sifa siku hizi.mwananchi na TZ DAima
Unge-specify category ya gazeti. Magazeti serious au ya udaku? Kwa ujumla, magazeti ya udaku ndo yanaongoza kwa kusomwa zaidi. Sababu kubwa ya kuongoza ni kwamba, magazeti hayo yanasomwa na kila mtu, hayabagui(non selective) na hayamfanyi mtu atafakari sana na kuumiza kichwa. Tofauti na magazeti serious ambayo yanasomwa zaidi na watu makini, wasomi, wanasiasa etc. Mfano ni vigumu kumkuta mtu wa kijiweni akisoma rai, financial times au majira ila ni rahisi kumkuta akisoma sani au ijumaaa
sikubaliani nawe kuwa magazeti ya udaku yanasomwa NA KILA MTU. Mimi siyasomi. Ulichomaanisha ni kwamba magazeti ya udaku YANAWEZA KUSOMWA NA KILA MTU nikimaanisha kuwa kuna watu ukimpa Raia Mwema au Mwanahalisi asome ni kama umempa kitabu cha Quantum Physics akisome.Unge-specify category ya gazeti. Magazeti serious au ya udaku? Kwa ujumla, magazeti ya udaku ndo yanaongoza kwa kusomwa zaidi. Sababu kubwa ya kuongoza ni kwamba, magazeti hayo yanasomwa na kila mtu, hayabagui(non selective) na hayamfanyi mtu atafakari sana na kuumiza kichwa. Tofauti na magazeti serious ambayo yanasomwa zaidi na watu makini, wasomi, wanasiasa etc. Mfano ni vigumu kumkuta mtu wa kijiweni akisoma rai, financial times au majira ila ni rahisi kumkuta akisoma sani au ijumaaa
Uhuru na Mzalendo
sikubaliani nawe kuwa magazeti ya udaku yanasomwa NA KILA MTU. Mimi siyasomi. Ulichomaanisha ni kwamba magazeti ya udaku YANAWEZA KUSOMWA NA KILA MTU nikimaanisha kuwa kuna watu ukimpa Raia Mwema au Mwanahalisi asome ni kama umempa kitabu cha Quantum Physics akisome.
hata unazungumzia per issue au per week au??
- Mwananchi
- Mwanahalisi
- Mwanaspoti
- Tanzania Daima
- Raia mwema