Magazeti yanayoongoza kwa kusomwa nchini

kwa watu walio serious huwa hawasomi magazet ya udaku hivi unasoma nini mule na unagain nini hasa cha kushangaza hata watu wasomi unawakuta wamekazana na magazeti ya udaku ndo maana hawajui hata kinachoendelea katika nchi hawajitambui kwa kweli
 
mwananchi hawalisomi kwa ubora wa habari zake, bali wanalisoma kwa kuwa kila toleo karibu, lina nafasi za kazi.

magezeti ya wiki, mwanahalisi linafunika
 
Mwananchi linasomwa zaidi na watu makini hata maofisini huwezi kosa Mwananchi kabisa...

Mwanahalisi nalo linafuatia...

Ila nimegundua kwamba magazeti yanayosomwa zaidi yana mambo mengi sana, mfano Habari mbalimbali, biashara, matangazo, makala, michezo na uchambuzi.

Yale ambayo yana upungufu wa haya baadhi ya mambo nadhan ndo yanashikilia mikiani.
 
Back
Top Bottom